Wajuzi wa mambo hii kitu inamaana gani?

Youngtozy1992

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Messages
1,346
Points
2,000

Youngtozy1992

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2016
1,346 2,000
Habar wakuu,

Niende kwenye maada.

Kuna manzi flani ivi tulikutana safarini sasa katika kupiga stori tukajikuta wote kumbe tunaenda sehemu moja na cha kufurahisha tulikuwa tunashukia kituo kimoja.

Basi bana, tukapiga stori sana hadi tuliposhuka tukapeana namba kila mtu kaenda zake, lakini katika mawasiliano tukakutana na kwa mara hii tulikutana katika ziara ya kikubwa na hapa ndio najiuliza nilichokiona kwa dem huyu. Kwa mazingira niliyoyaona hakuwa mgeni wa hii mchezo ya kikubwa na inaonesha ndio hom ground kwake!

Sasa cha ajabu tumeingia uwanjani kabla ya mechi katika kuandaa vikosi nashangaa kitanda kimeloa chote mimi nikajua labda ni hali ya kawaida mwenzangu huko labda shimo limetema, ila chakushangaza ni kwamba kulowa kule hakukuwa kwa kawaida, ilikuwa ni kama maji kikombe kizima cha lita moja na baada ya mda nilikuja kunusa yale maji nikagundua ni mkojo.

Ila cha ajabu mwenzangu alikuwa hajalala kiasi kwamba ningesema labda ndio michezo yake ya kunyesha usiku ila cha ajabu alikuwa macho na wote tulikuwa tunashirikiana kuandaa vikosi kabla ya mechi! Sasa ndugu zangu wataalamu hali hii inakuwaje, ni kawaida hata kwa watu wengine labda mimi ndio nimeiona kwa mara ya kwanza au mwenzangu anamatatizo?

Binafsi baada ya lile tukio sijawai kumtafuta tena baada ya kuachana!
 
iMind

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Messages
2,123
Points
2,000

iMind

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2011
2,123 2,000
Ni hali ya kawaida kwa baadhi ya wanawake. Baadhi Wanawake huwezi kutoa maji mengi wakati wa kujamiana, kama utawachezea kisimi au hata wakati wa tendo la kawaida, na wengine hata wakiwa wanaliwa tigo. Maji yaweza kuwa mengi hadi lita 3. Kwa maelezo zaidi google
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Messages
9,126
Points
2,000

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2018
9,126 2,000

alikunya hapo
 
Goddess

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
3,473
Points
2,000

Goddess

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
3,473 2,000
Ni hali ya kawaida kwa baadhi ya wanawake. Baadhi Wanawake huwezi kutoa maji mengi wakati wa kujamiana, kama utawachezea kisimi au hata wakati wa tendo la kawaida, na wengine hata wakiwa wanaliwa tigo. Maji yaweza kuwa mengi hadi lita 3. Kwa maelezo zaidi google
Maji wapi sema mkojo bwana
 
Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Messages
1,422
Points
2,000

Gluk

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2017
1,422 2,000
Ni hali ya kawaida kwa baadhi ya wanawake. Baadhi Wanawake huwezi kutoa maji mengi wakati wa kujamiana, kama utawachezea kisimi au hata wakati wa tendo la kawaida, na wengine hata wakiwa wanaliwa tigo. Maji yaweza kuwa mengi hadi lita 3. Kwa maelezo zaidi google
Lita tatu chumba si kitageuka kisima
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Messages
5,084
Points
2,000

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2016
5,084 2,000
Ni hali ya kawaida kwa baadhi ya wanawake. Baadhi Wanawake huwezi kutoa maji mengi wakati wa kujamiana, kama utawachezea kisimi au hata wakati wa tendo la kawaida, na wengine hata wakiwa wanaliwa tigo. Maji yaweza kuwa mengi hadi lita 3. Kwa maelezo zaidi google
Agoogle kwa ku click neno gani?
 
Forum statistics

Threads 1,389,759
Members 528,022
Posts 34,033,906
Top