Tambua utapeli unaofanywa na Job Junction

Carnivora

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
3,651
5,987
Habari za usiku wadau

Job Junction ni 'kampuni' ama taasisi au wakala ambaye anajihusisha na kazi ya kuunganisha waajiri na watafuta kazi. Wakala huyu anapatikana Makumbusho katika jengo lenye Choppies Supermarket (sina hakika kama bado ipo pale) ghorofani pale. Wakala huyu au kampuni hii iko kwenye chumba kimoja kidogo cha ofisi ambapo kwa kawaida kuna mhudumu mmoja, lakini wapo wengine.

Utaratibu wao ni kwamba ukiwa unatafuta wanapokea CV za wanaotafuta kazi, kisha mtafuta kazi akishaacha CV wanaipitia. Wakishaona inawafaa wanampigia mhusika aende akajaze form na kulipia gharama zao za form na usajili ambazo ni shilingi Elfu Ishirini (20,000). Baada ya hapo muomba kazi asubiri kualikwa kwenye usaili wa kazi mpaka atakapopata kazi. Atakapopata kazi watakata asilimia 30% ya mshahara wa kwanza wa mwajiriwa na mkataba unaishia hapo. Wao kazi yao ni kuwatafutia kazi kwa kuonana na makampuni mbali mbali yenye uhitaji.

MALALAMIKO
Kuna dogo mmoja ni jirani na ninapoishi huwa anakuja sana nyumbani akinichukulia kama brother wake ndio amenipa kesi hii akiwa amepata ushuhuda pia wa wenzake kama yeye "waliopigwa" na mmiliki wa Job Junction. Baada ya kunipa mkasa wake, nikamuambia afuatilie vitu kadhaa ili tuchukue hatua dhidi ya mhusika ambapo alifanikiwa kuvipata. Alienda pale kama anaulizia ulizia baadhi ya vitu na uzuri mhusika alikua ameshamsahau. Moja kati ya vitu nilivyomuagiza akakague japo kwa wizi wizi ni TIN namba na leseni ya biashara ya wahusika.

Kwa mujibu wa maelezo ya dogo TIN namba iliyopo pale ni ya mhusika wa ofisi ile ambaye ndiye huwa ni mhudumu wa muda wote aitwaye Peter Mtenga. Kifupi ni kwamba hakuna TIN namba ya Job Junction as it stands.

Tuendelee, huyu bwana pamoja na team yake amekuwa anatangaza matangazo ya kazi kwenye site kama Brighter Monday. Halafu anaweka namba ya simu ambapo walio interested hupiga. Ukipiga unaambiwa uende na CV yako ofisini kwao. Ukishafika unaacha hiyo CV na baadae kama nilivyoeleza hapo juu. Ubaya ni kwamba ukijaza hiyo form/ mkataba wewe hupewi nakala unayobaki nayo. Hii inaleta ukakasi namna ambavyo wanakata hiyo 30% ya mshahara wa kwanza wa mtafuta kazi.

Tatizo linakuja madogo wetu wanafanyiwa uhuni na wahusika wa hiyo Job Junction. Ukishaacha CV utapigiwa simu au kutumiwa ujumbe "Kesho/ keshokutwa hudhuria usaili kampuni xxx nafasi ya kazi (job tittle) ni xxxx fika na CV yako kuda xxx."

Mtakwenda huko sehemu ya tukio. Mkishafika hakuna usaili, mtaambiwa bosi wa pale hana taarifa ya usaili au hayupo. Utawakuta wenzio kama wewe mnajishangaa kwa kupoteza muda na nauli zenu. Akipigiwa huyo Peter atasingiza kulikua na miscomunication so wataarrange tena, ndio imetoka hiyo.

Huyu dogo wangu ameshafanyiwa hivyo mara 2 mfululizo. Na tangia hapo hajaitwa tena kwa usaili wa kazi yoyote. Sasa wanagroup yao ya whatsapp ndipo kila mmoja akatoa ushuhuda unaofanana. Kinachoonekana ni kwamba ukienda (job junction) ukiwa mpya mpya watakualika usaili "fake" kama hivyo. Baada ya hapo ndiyo kimya milele. Kati yao hakuna hata mmoja aliyeshuhudia akipata kazi kupitia wao.

Inasemekana anapokea watafuta kazi wengi sana.....na kwa facility zake ni ngumu mno kuwafanikishia watu hao ndoto zao. Kiufupi hajajipanga. Otherwise ni tapeli anayejipatia kipato kwa kuwalaghai vijana na mabinti wengi tu.

Siku zake za kuendelea na "biashara" hiyo zinahesabika. Ole wake bwana Peter.
 
Habari za usiku wadau

Job Junction ni 'kampuni' ama taasisi au wakala ambaye anajihusisha na kazi ya kuunganisha waajiri na watafuta kazi. Wakala huyu anapatikana Makumbusho katika jengo lenye Choppies Supermarket (sina hakika kama bado ipo pale) ghorofani pale. Wakala huyu au kampuni hii iko kwenye chumba kimoja kidogo cha ofisi ambapo kwa kawaida kuna mhudumu mmoja, lakini wapo wengine.

Utaratibu wao ni kwamba ukiwa unatafuta wanapokea CV za wanaotafuta kazi, kisha mtafuta kazi akishaacha CV wanaipitia. Wakishaona inawafaa wanampigia mhusika aende akajaze form na kulipia gharama zao za form na usajili ambazo ni shilingi Elfu Ishirini (20,000). Baada ya hapo muomba kazi asubiri kualikwa kwenye usaili wa kazi mpaka atakapopata kazi. Atakapopata kazi watakata asilimia 30% ya mshahara wa kwanza wa mwajiriwa na mkataba unaishia hapo. Wao kazi yao ni kuwatafutia kazi kwa kuonana na makampuni mbali mbali yenye uhitaji.

MALALAMIKO
Kuna dogo mmoja ni jirani na ninapoishi huwa anakuja sana nyumbani akinichukulia kama brother wake ndio amenipa kesi hii akiwa amepata ushuhuda pia wa wenzake kama yeye "waliopigwa" na mmiliki wa Job Junction. Baada ya kunipa mkasa wake, nikamuambia afuatilie vitu kadhaa ili tuchukue hatua dhidi ya mhusika ambapo alifanikiwa kuvipata. Alienda pale kama anaulizia ulizia baadhi ya vitu na uzuri mhusika alikua ameshamsahau. Moja kati ya vitu nilivyomuagiza akakague japo kwa wizi wizi ni TIN namba na leseni ya biashara ya wahusika.

Kwa mujibu wa maelezo ya dogo TIN namba iliyopo pale ni ya mhusika wa ofisi ile ambaye ndiyee huwa ni mhudumu wa muda wote aitwaye Peter Mtenga. Kifupi ni kwamba hakuna TIN namba ya Job Junction as it stands.

Tuendelee, huyu bwana pamoja na team yake amekuwa anatangaza matangazo ya kazi kwenye site kama Brighter Monday. Halafu anaweka namba ya simu ambapo walio interested hupiga. Ukipiga unaambiwa uende na CV yako ofisini kwao. Ukishafika unaacha hiyo CV na baadae kama nilivyoeleza hapo juu. Ubaya ni kwamba ukijaza hiyo form/mkataba wewe hupewi nakala unayobaki nayo. Hii inaleta ukakasi namna ambavyo wanakata hiyo 30% ya mshahara wa kwanza wa mtafuta kazi.

Tatizo linakuja madogo wetu wanafanyiwa uhuni na wahusika wa hiyo Job Junction. Ukishaacha CV utapigiwa simu au kutumiwa ujumbe "Kesho/ keshokutwa hudhuria usaili kampuni xxx nafasi ya kazi (job tittle) ni xxxx fika na cv yako kuda xxx."

Mtakwenda huko sehemu ya tukio. Mkishafika hakuna usaili, mtaambiwa bosi wa pale hana taarifa ya usaili au hayupo. Utawakuta wenzio kama wewe mnajishangaa kwa kupoteza muda na nauli zenu. Akipigiwa huyo Peter atasingiza kulikua na miscomunication so wataarrange tena, ndio imetoka hiyo.

Huyu dogo wangu ameshafanyiwa hivyo mara 2 mfululizo. Na tangia hapo hajaitwa tena kwa usaili wa kazi yoyote. Sasa wanagroup yao ya whatsapp ndipo kila mmoja akatoa ushuhuda unaofanana. Kinachoonekana ni kwamba ukienda (job junction) ukiwa mpya mpya watakualika usaili "fake" kama hivyo. Baada ya hapo ndio kimya milele. Kati yao hakuna hata mmoja aliyeshuhudia akipata kazi kupitia wao.

Inasemekana anapokea watafuta kazi wengi sana.....na kwa facility zake ni ngumu mno kuwafanikishia watu hao ndoto zao. Kiufupi hajajipanga. Otherwise ni tapeli anayejipatia kipato kwa kuwalaghai vijana na mabint wengi tu.

POLENI SANA AMA.POLE SANA KAMA N MHUSIKA
HII ATTACHMENT IMENIFANYA NIANDIKE HAPA
DOGOWAKO NAOMBA NIMWITE BWEGE
MAANA UMEANDIKA KAPIGWA MARA MBILI NA BADO UNAKUJA MTETE
MWAMBIE AACHE UPOPOMPO

KUHUSU TIN...
SIJUI KAM UNAJUA NAWEZ AKUWA NA TIN.MOJA BIASHARA TOFAUTI

HUJUI TRA KAANDIKISHA BIASHARA NGAPI KWENYE HIO TIN

MMWISHO USIKATE TAMAA AJIRA ZIMEKUWA KONYOOOSANA NOW DAYS KAMA UNA SEHEMU AKAUZA HATA MACHUNGWA AKISUBIRIA AJIRA UTAFANYA JAMBO JEMA

ALL D BEST
NEVERGIVEUP Screenshot_20191110-231206.png
 
HUYO ana kadigirikiii kakee kamau kujitngaza FB ajiraaa amwanaukomeee achenii
Screenshot_20191110-223242.png

I heart u....
Loh
 
Siku

Siku hizi waliomaliza ukiwatajia ajira unawachanganya akili sana
 
Soma uelewe vizuri. Yaani kaitwa kwenye usaili mara 2 hajatoa pesa mara 2
POLENI SANA AMA.POLE SANA KAMA N MHUSIKA
HII ATTACHMENT IMENIFANYA NIANDIKE HAPA
DOGOWAKO NAOMBA NIMWITE BWEGE
MAANA UMEANDIKA KAPIGWA MARA MBILI NA BADO UNAKUJA MTETE
MWAMBIE AACHE UPOPOMPO

KUHUSU TIN...
SIJUI KAM UNAJUA NAWEZ AKUWA NA TIN.MOJA BIASHARA TOFAUTI

HUJUI TRA KAANDIKISHA BIASHARA NGAPI KWENYE HIO TIN

MMWISHO USIKATE TAMAA AJIRA ZIMEKUWA KONYOOOSANA NOW DAYS KAMA UNA SEHEMU AKAUZA HATA MACHUNGWA AKISUBIRIA AJIRA UTAFANYA JAMBO JEMA

ALL D BEST
NEVERGIVEUPView attachment 1259951
 
HUYO ana kadigirikiii kakee kamau kujitngaza FB ajiraaa amwanaukomeee acheniiView attachment 1259952
I heart u....
Loh
Yuko sahihi mkuu ametumia figurative language yaani badala ya kuweka alama ya kopa inayo wakilisha moyo(hear) ambayo ndio love kwa sisi wakali wa fasihi tumempata vilivyo.
NOTE: fasihi sio kwaajili ya wote
 
Back
Top Bottom