Huyu mwanamke nimfanyeje?

Huyu mwanamke nimfanyeje?

Samahani mkuu,ila Wwe ni Ndezii INA maana unataka upewe papuchiii kirahisiii ivoo,alafu mbona unaharaka ivoo kama ndege ni wako utamtafuna tu.
 
Endelea kubembeleza..................
Tuliambiwa tuishi nao kwa akili...
Anapima msimamo tuu ..............
 
mkuu huyu binti kwa maoni yangu yeye ni wana uvccm 😛 😎 😅 😅so pls tafuta binti wa upizani😛😛 hao hawana upuzi kaa wana ccm, but hio ni joke tu, pls kaa unataka kulala na binti ya watu, pls marry her, muoe, kaa ni mimi aliabia niko tayari lakini unioe, siku hio hio ningemuoa, kaa huna lengo la kumuoa, enda ukatafute binti ambae hana nidhamu au tabia poa, pole lakini mkuu
 
Behind the camera,
Hii imenikumbusha hadithi ya rafiki yangu! Yeye alimpenda mrembo mmoja aliyekuwa akifanya kazi katika bar moja. Kadiri ya huyu rafiki yangu, ambaye kaoa, alitaka amchombeze huyu mrembo! Alianza kumtongoza lakini ikawa shida kukubaliwa. Kapewa sharti, ili apewe tunda basi ampe mtaji ili aanzishe biashara yake mwenyewe! Jamaa yangu yuko njia panda!
 
Kosa ni la mchungaji sio la binti.
Mahubiri yalimpa nguvu ya kupindua maamuzi mlokubaliana.
 
  • Thanks
Reactions: dtj

Similar Discussions

Back
Top Bottom