mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 93,991
- 132,359
Msumbiji Wana sehemu yao ya residential aise nyumba iko Beach ila wameitupa, kna mijani kibaoo
Ova
Msumbiji Wana sehemu yao ya residential aise nyumba iko Beach ila wameitupa, kna mijani kibaoo
Mabeberu haooUbalozi wa Urusi na Ufaransa ukipita kwa nje pia kunaonekana kupo rafu
Ubalozi wa uingereza na umoja wa ulaya ndio classic sana
Msumbiji Wana sehemu yao ya residential aise nyumba iko Beach ila wameitupa, kna mijani kibaoo
Ova
Kuna siku niliona gari la balozi wa DRC aiseee acha kabisa.........sijui ni Bentley ile au Jaguar.......kama ofisi zao ni za ovyo nitashangaa sana!
Syo safe house kna mlinziKama ni safe house yao je?
Comoro sio chakavu, ni classic kabisa nimeshaenda zaidi ya mara kumi1. Egypt,
2. Mozambique,
3. Zimbabwe,
4. Malawi,
5.Comoro,
Tuseme si la kisasa. Umefika ubaloz wa Misri?Comoro sio chakavu, ni classic kabisa nimeshaenda zaidi ya mara kumi
Kidiplomasia Ubalozi upo (non-resident embassy) balozi anaishi Addis Ababa.Hivi ubalozi wa Iraq upo nchini
nimeona tu hii thread nikawaza moja kwa moja ubalozi wa msumbiji. halafu kwa mtu anayepita ile njia mara kwa mara atagundua kuna mtu anakaa chini pale karibu na ubalozi wa canada karibu kila siku
![]()
![]()
Kuongoza kwenye nini?Katika balozi za nchinza kiafrika egypt wanaongoza,labda kama unazungumzia egypt ya miaka 1940
Nice...Sio haba ndugu. View attachment 1254246
Afadhali wewe umetukumbuka na kapicha...Sio haba ndugu. View attachment 1254246
Usifananishe ofisi za ubalozi na makazi ya ubalozi.Swali zuri sana. Nadhani ana miaka zaidi ya mitatu tangu apite Victoria pale.
Lukindo ndo Baba Mkwe wa Mauki?Balozi lukindo alikuwa mjivuni bwanaaa
Alikuwa hapendi kuishi kinyonge
Mgosi alikuwa anajipendaaa
Ova
Mtoto wake mmoja alikuwa anaitwa joseLukindo ndo Baba Mkwe wa Mauki?
Safari hii wastaafu wamepoteana. Wazee wa Daressalamu siwasikii tena. Fa'mchezo nn!Mtoto wake mmoja alikuwa anaitwa jose
Lukindo alikuwa anaishi Ada estate
Majina ya Watoto zke wengine nmeyasahau mkuu
Ova