Nimeshuhudia baadhi ya maeneo nchini kuna zoezi la kimya kimya linalofanywa na watu wanaojitambulisha kwamba wametokea Serikalini kwa maelezo kwamba ni usajili wa makazi.
Wanakufuata wakiwa na mwenyekiti wa kijiji chako au kiongozi mwingine wa kijamii kutaka uwatajie namba ya LUKU na namba ya...
Ama kweli watanzania sio wafuatiliaji, bure kabisa! Badru kapelelwa pazuri zaidi - Ngorongoro. Na hii taarifa ilikuwa ktk press release ile ile ya kumuondoa PSSSF. It's unbelievable, watu hawana muda wa kuzingatia mambo
Kwangu haijawahi kutoka/kutolewa. Edit function ipo kwa zaidi ya mwaka sasa. Na ni hizohizo dakika 15 ndio ina-function. Ninaitumia kwenye ios na kwenye android.
Tell us what's new? Usikute wewe ndio umechelewa kujua kwamba hiyo huduma ipo>
Wauzaji wa jumla wanauziwa Hennesy moja? Pepsi kwa bei ya jumla iuzwe 6,000?! Kajipange upya halafu urudi.
Proforma Invoice mimi nailinganisha na bili. Inatolewa ili mteja aelewe anachodaiwa, halafu ukilipa unapewa risiti.
Kwa zama hizi mawasiliano ni wazi yatakuwa kidigitali.
Ila bado kuna mengi ya kiurafiki yanaweza kufanyika nje ya TEHAMA mfano kutumiana vitabu na machapisho, kupeana michongo n.k
I believe life is all about making the world a better place through sharing and cooperation.
Urafiki wa namna...
Enzi zetu wakati tunasoma sekondari hili jambo lilikuwa maarufu hata kulikuwa na matangazo magazetini wadau mbalimbali kutafuta marafiki wa kalamu yaani rafiki wa kuwasiliana kwa njia ya barua, postikadi n.k.
Leo nimejikuta naukumbuka huu utaratibu ambao uliniwezesha kujipatia marafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.