Mtokambali
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 216
- 91
Enzi zetu wakati tunasoma sekondari hili jambo lilikuwa maarufu hata kulikuwa na matangazo magazetini wadau mbalimbali kutafuta marafiki wa kalamu yaani rafiki wa kuwasiliana kwa njia ya barua, postikadi n.k.
Leo nimejikuta naukumbuka huu utaratibu ambao uliniwezesha kujipatia marafiki waaminifu na wa kudumu ndani na nje ya nchi, wengine hadi leo tunawasiliana na wengine tulifanikiwa kutembeleana na kuwajua wazazi na ndugu zao n.k.
Nakaribisha marafiki wapya wa kalamu;
KARIBUNI.

- Wawe wanapenda kujisomea.
- Wawe wanapenda kuwasiliana na kujadiliana.
- Wawe wastaarabu wanaojiheshimu wenye lugha za stara na kujua mipaka ya urafiki wa kalamu.
- Wanaweza kutokea popote ulimwenguni ila itapendeza kama wanajua vema kiswahili/kiingereza au vyote.
KARIBUNI.