Je! "Mbawa" Kutoonekana Hadharani,Tuamini Ule Uzushi?

voicer

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
5,545
Reaction score
11,943
Ni muda sasa,Kwamba Mwamba haonekani kama ilivyokuwa ada!

Ni muda sasa tangu Mnyo-kaa anaonekana busy mikoani.
Bila mwenye- Ukuta wake,kama ilivyokuwa ada!

Kuna ki-uzushi uzushi kilitokea wiki mbili yapata sasa!

kwamba "Siha" ya "Mwamba" wa "Siha" imetetereka kidogo kutokana na hili tatizo la Utamu kuzidi mwilini( ambalo kwa sasa limekuwa tatizo sugu)na kupelekea In-Soil-Inn ya mwili kuzidi kiwango.

Je!
Ukimya huu ni Dalili za Ufundi wa "Mungu" au?

Muda ni Shahidi Mzuri na Muhimu.

Tuishi kwa kuombeana Mazuri Daima.

Wenye kujua mtatujuza sisi ambao ni maajuza!

Alamsikhi!
10101
 
Nipo karibu hapa ili niweze kupata habari kamili
 
Seat ya pili upande wa dereva
 
Itakuwa yupo nyumbani kwake. Huenda kaamua utaratibu wa "Low Profile"
 
Mwamba amerudi nyumbani kwa sherehe za mwisho wa mwaka, sema imekuwa mapema kipindi hiki sababu kubwa maswali yamekuwa mengi kuhusu fedha za join ze cheni
 
Ni muda sasa,Kwamba Mwamba haonekani kama ilivyokuwa ada!

Ni muda sasa tangu Mnyo-kaa anaonekana busy mikoani.
Bila mwenye- Ukuta wake,kama ilivyokuwa ada!

Kuna ki-uzushi uzushi kilitokea wiki mbili yapata sasa!

kwamba "Siha" ya "Mwamba" wa "Siha" imetetereka kidogo kutokana na hili tatizo la Utamu kuzidi mwilini( ambalo kwa sasa limekuwa tatizo sugu)na kupelekea In-Soil-Inn ya mwili kuzidi kiwango.

Je!
Ukimya huu ni Dalili za Ufundi wa "Mungu" au?

Muda ni Shahidi Mzuri na Muhimu.

Tuishi kwa kuombeana Mazuri Daima.

Wenye kujua mtatujuza sisi ambao ni maajuza!

Alamsikhi!
10101
Tangu shemeji Yako akununulie smartphone unaandika upuz tu
 
Mbowe ni mwiba kwenye kalio la ccm. KUKAA HAMUWEZI, KUSIMAMA SHIDA. Mnaomba hata afe lakini wapi!
Jibu "Hoja" acha "Vi-hoja"

Ungetuambia alipo na sababu rasmi ya ukimya wake......

Au amenogewa na utamu wa Asali?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom