Recent content by mtiwadawa

  1. M

    GE2010 Kwa hili,chadema muwe makini

    Katika pitapita yangu hapa jijini Mwanza nimejaribu kufanya utafiti mdogo tu juu ya nani ataibuka kidedea kwenye uchaguzi wa wabunge,JIMBO LA NYAMAGANA.Kwa uhakika kabisa,pasipo ushabiki MASHA atashindwa.Kwa kuwa MASHA ameanza kuhisi hilo,amesema atatumia mbinu zote kumshinda mgombea wa...
  2. M

    GE2010 Yu wapi mgombea mwenza wa CHADEMA?

    NI yupi,yule aliyesoma mpaka shule ya msingi,ooh ok! AMEJITOA KWENYE KINYANG'ANYIRO.
  3. M

    GE2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

    Je leo akiondoka Dr.Slaa,CHADEMA itakuwepo?
  4. M

    GE2010 Wabunge wanaosubiri kuapishwa...

    Mmh,SUGU! Ukilinganisha kwa uelewa na uwezo wa kupambanua mambo(weledi) kati ya Profesa Maji Marefu na Sugu,NADHANI PROFESA ANA UWEZO ZAIDI. kwa SUGU MMECHEMSHA!
  5. M

    GE2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

    Kumbuka, 'mtu na mtu hufanya watu'.
  6. M

    GE2010 Sitta amdharau kikwete

    Du,kwa hili,sikutetei! Ongelea hoja,si uzuri. Je,hivi hapo ndio mwisho wa kufungua akili yako?
  7. M

    GE2010 Mgombea udiwani wa chadema ahamia ccm

    Mgombea udiwani wa kata ya Endasaki,Wilayani Hanang,Mohamed Tandu amehama chama chake na kuhamia CCM. Jambo hilo linamfanya mgombea wa CCM kupita bila kupingwa. Source: Mwananchi,16.09.2010,ukurasa wa 8. Maoni: Chadema msikurupuke kupata wagombea,kama nina kumbukumbu sahihi huyu ni mtu wa...
  8. M

    GE2010 Mbunge Njombe kukosa kura kisa kasema "Mmepanua wakinga tumeingiza"

    aah ndugu yangu,mbona unatuchosha kwa kuuliza majibu!!? Yupi kwanza,yule mgombea mwenza wa Dr.Slaa?,si darasa la saba na mkondo ni B. au unataka kujua somo la Hisabati alipata nini?
  9. M

    GE2010 Kauli za ndg. Hashim Rungwe

    Lakini kweli,bora mgombea wa PPT-Maendeleo,Dr.Peter Mzirai(sasahivi kila mtu anaitwa Dr.) yu active kuliko Mgombea wa NCCR,Dr.Hashim Rungwe.
  10. M

    GE2010 Picha: Kikwete Tanga, Bumbuli, Kilindi, Kilimanjaro, Arusha

    Ni kweli,kilichofanyika ni amepita kwenye kura za maoni ambazo ni wananchi ambao walengwa zaidi,wanamfahamu na wahahisi atawasaidia.kama ni kosa, basi ni la wananchi.
  11. M

    GE2010 Picha: Kikwete Tanga, Bumbuli, Kilindi, Kilimanjaro, Arusha

    SHIBUDA hakujitokeza kugombea urais,alikuwa kwenye process na hata jina lake wala halikwenda nec!Mgombea alikuwa JK tu.Ikumbukwe kuwa Shibuda alimuunga mkono JK kwa kumchangia Tshs.200,000/= za kampeni na pia kumpamba kwelikweli.Leo amegeuka,Hivi Shibuda kweli anataka kuwakomboa wananchi au...
  12. M

    GE2010 Kwa nini Picha za Mgombea Urais wa CHADEMA Dr.Slaa na wabunge hazionekani?

    Kura zitatoka wapi,wakati bado wachanga na hamfamiki vijijini.
  13. M

    MissTz 2010: Mrembo kakosa umiss kwa kujibu vibaya

    Ila ukweli unaonekana,mkubali mkatae,JK ni mchapazi. Fainali ni Oktoba,31.
  14. M

    GE2010 Mwenyekiti wa chadema kuhamia ccm huko ndiko kunakomfaa

    mwenyekiti wa CHADEMA alipokuwa akiaga na kujiunga na CCM
  15. M

    GE2010 Nitashangaa sana kikwete akishinda

    Ndugu yangu wewe,ya kweli hayo?!.labda,sijui.na ya binafsi hatuyasemi.
Back
Top Bottom