Kwa hili,chadema muwe makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili,chadema muwe makini

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mtiwadawa, Sep 25, 2010.

 1. m

  mtiwadawa Member

  #1
  Sep 25, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika pitapita yangu hapa jijini Mwanza nimejaribu kufanya utafiti mdogo tu juu ya nani ataibuka kidedea kwenye uchaguzi wa wabunge,JIMBO LA NYAMAGANA.Kwa uhakika kabisa,pasipo ushabiki MASHA atashindwa.Kwa kuwa MASHA ameanza kuhisi hilo,amesema atatumia mbinu zote kumshinda mgombea wa CHADEMA(mbinu zote zinaweza zikawa chafu na safi).
  Ni vyema CHADEMA MKAE MACHO,KWA UHALALI JIMBO LA NYAMAGANA NI LENU.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,937
  Trophy Points: 280
  chadema inabidi wawe na mikakati hai ili kura zao zisije zikaibiwa. Hakuna kupuuza kitu hapa. Nambari wani ss hivi chaliiii. Kifo cha mende.
   
Loading...