MissTz 2010: Mrembo kakosa umiss kwa kujibu vibaya

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
1,093
1,726
Katika kile kinachoonyesha joto la Dr. Slaa kupanda sana, kwenye shindano la urembo lililoendeshwa na Star TV, mrembo mmoja alizomewa na ukumbi mzima katika mahojiano yafuatayo:

Swali: Utamchagua Rais wa aina...?

Utamchagua Rais wa aina gani? Mgombea wa miss Tanzania ajibu: Nitamchagua Rais anayechapa kazi kama mheshimiwa Jakaya Kikwete.. Watazamaji wazomea: Booooooo!

My Take:

Tanzania bila CCM inawezekana!
 
Wadau kwa walifuatilia Miss TZ; kakosa UMISS dada niliyemuona kustahili ila katika jibu lake kaweka jina la JK na kumsifia; hivyo ukumbi badala ya kumshangilia ukamzomea? Mliokuwepo hapo ebu tujuzeni
 
CCM wakiona hivyo, BP inapanda juu ... lakini atleast watu wanatuma msg kwamba wamekichoka chama, sasa wanataka mabadiliko.
 
Ila ukweli unaonekana,mkubali mkatae,JK ni mchapazi.
Fainali ni Oktoba,31.

Mchapakazi wa kuwatumikia mafisadi wenzake ambao wanampeleka puta kama gari bovu. Rais gani ambaye hana mamlaka yoyote? Nchi imemshinda kila kukicha ni kutishia kwamba ninawapa muda, mpaka miaka 5 imeisha. Kwenye chama chake NEC yote na CC viko pro-mafisadi, halafu ndo unasema kwamba mchapa kazi?
 
Jamani mi nilikuwepo kilichowaudhi wengi ni kuchanganya siasa na burudani iliyotupeleka pale hata angemtaja Slaa angezomewa,watu tunaenda kwenye kumbi za starehe kupumzisha akili baada ya uchaguzi kutawala TV,redio,magazeti,mabango etc.
 
Kwanini hawakumzomea muuliza swali? Hivi umesoma swali na kulielewa?

Swali: Utamchagua Rais wa aina...?

Utamchagua Rais wa aina gani? Mgombea wa miss Tanzania ajibu: Nitamchagua Rais anayechapa kazi kama mheshimiwa Jakaya Kikwete.. Watazamaji wazomea: Booooooo!

Kama ni kuzomea mngeanzia kumzomea muuliza swali.

Hii siyo mara ya kwanza swali la kisiasa kuulizwa kwenye hayo mashindano? Bado ukweli uko pale pale ... watu wameichoka CCM!
 
Swali lilikuwa AINA ya rais alitakiwa kujibu sifa ambazo Rais huyo awe nazo ili amchague hajaulizwa nani.
 
jamani mi nilikuwepo kilichowaudhi wengi ni kuchanganya siasa na burudani iliyotupeleka pale hata angemtaja slaa angezomewa,watu tunaenda kwenye kumbi za starehe kupumzisha akili baada ya uchaguzi kutawala tv,redio,magazeti,mabango etc.

swali ni obvious linacheck kichwa chako kina discuss watu au ideas na sifa.hope angesema rais mwenye sifa hizi na hizi ,hakika asingezomewa !
So she has shown up her little minded personality
 
Ila ukweli unaonekana,mkubali mkatae,JK ni mchapazi.
Fainali ni Oktoba,31.

Nadhani JK anachapa kazi na sheikh Yahaya Hussein na majini yake aliyomwongezea sio kwa mtanzania kama mimi, kwani hayo maisha bora yapo mgongoni, labda na wewe bwana mtiwadawa unaweza kwenda kusaidiana na JK kupiga ramli na sheikh yahaya kwani maendeleo ya kupiga ramli sisi hatujayaona.
 
Watu walifanya makosa sana kumzomea binti.......

Aisifiaye Mvua jamani. Inawezekana binti alishapelekeshwa ALL NIGHT LONG.

Kutoka siku hiyo akajua Mkwere ni Mchapa fiMbo......ahhaaa samahani mchapa kazi safi sana.

Sasa mlitaka amsifie Slaa? Hata Mzee Kenyantta alijisifu "Wanaosema mie Mzee, muulizeni Mama Ngina".
 
safi sana
 
Katika kile kinachoonyesha joto la Dr. Slaa kupanda sana, kwenye shindano la urembo lililoendeshwa na Star TV, mrembo mmoja alizomewa na ukumbi mzima katika mahojiano yafuatayo:

Swali: Utamchagua Rais wa aina...?

Utamchagua Rais wa aina gani? Mgombea wa miss Tanzania ajibu: Nitamchagua Rais anayechapa kazi kama mheshimiwa Jakaya Kikwete.. Watazamaji wazomea: Booooooo!

My Take:

Tanzania bila CCM inawezekana!
shindano gani hilo??? ni hilo la miss tz au kuna la start TV pekee?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom