Nitashangaa sana kikwete akishinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitashangaa sana kikwete akishinda

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Masauni, Sep 8, 2010.

 1. M

  Masauni JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu tumejaliwa kupata mgombea bora kabisa katika kiti cha uraisi naye ni Dr. Silaa., Ana kila sifa ya kuwa raisi wa nchi yetu. Mpaka sasa hakuna mtu au chama ambacho kimeshasema udhaifu au ubaya wa Dr. Silaa tangu akiwa kiongozi katika mashirika ya kidini mpaka ubunge na mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za serikali za mitaa. Hakuna awezaye kupinga maendeleo ya karatu chini ya uongozi wake. Dr. Silaa amesimamia vizuri kabisa hesabu za serikali za mitaa. Asingekuwa silaa na wenzake nani leo angejua ufisadi uliofanywa na CCM. Umewahi kuona wapi kiongozi anasema mshahara wangu mkubwa inabidi upunguzwe ili na wengine wafaidike!! Lakini ni Dr. Silaa alidiliki kuutangazia umma jambo hilo. Ni Dr. Silaa ambaye amehaidi kubadilisha Katiba akiweka wazi kwamba Raisi ana madaraka makubwa mno, na haiwezekani hatima ya watu mil 40 ikawa tu chini ya mtu mmoja. Dr. Silaa afanye nini ili watanzania mjue kwamba tumejaliwa kupata mtu makini baada ya kulia kwa miaka mingi? Watu wanaompinga Dr. Silaa wanampinga kwa lipi baya alilofanya?
  Ukija kwa kikwete ni ukweli usiopingika kuwa mafisadi ndo watu wanaomsupport na hata serikali yake ilikiwa kupambana na mafisadi ni kazi sana, alipokuwa mawziri wa nishati na madini alisign mikataba mingi mibovu.
  Sielewi wanaomsifia kikwete wanamsifia kwa lipi? wanaagenda gani? Je wanamacho lakini hawaoni? wanamasikio lakini hawasikii?
  NITASHANGA WATANZANIA WAKIMKUBALI KIKWETE NA KUMKATAA DR. SILAA. NASEMA TENA NITAWASHANGAA SANA WATANZANIA
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Masauni,
  Hata ukiangalia jinsi anavyokampeni ni kama mtu anayeogopa kivuli chake. Baada ya miaka 5 mamlakani angekuwa amefanya mazuri angekuwa na rekodi nzuri ya kujivunia katika kampeni. Badala yake tunasikia atatufanyia nini akipewa ridhaa yetu, akitoa ahadi kem kem, ataleta meli, ataboresha usafiri, atalipa madeni, yaani ili mradi tu ahadi zisizo na mwisho. Hana rekodi nzuri ya kujivunia, imebaki kutoa ahadi tu.l
   
 3. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  IInashangaza sana kuona ushabiki wa kivyama unawekwa mbele badala ya maslahi ya nchi! Tunaongozwa na hisia zaidi ya kufanya informed judgment. Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kwenda kupigwa na jua kusiikilza sera za CCM maana hawana jipya.

  Wangapi wamejaribu kupigapiga kelele wakaishia kuulizwa sema unachotaka na wamenyamaza milele! Walikuwepo akina HIZA, NGAWAIYA, TEDY, MAALIM SEIF, LYATONGA wote hao wamenyamaza amebaki Dr Slaa tu.

  Licha ya hayo majaribu na ahadi kemkem toka kwa CCM, amechagua kukaa upande wa wawanyonge, amekuwa sauti ya umma wa watanzania waliosahaulka, wakati mwingine hata kuhatarisha maisha yake.

  Wakati haya yakitokea kuna watanzania wanafuata mkumbo tu na ushabiki ukimwuliza hata hana sababu tena wengine wanakwambia basi tu ni chama changu! Huu ni uzembe wa kufikiri sijui! Kwa ufupi inakatisha tamaa
   
 4. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,400
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  Dr. Silaa afanye nini ili watanzania mjue kwamba tumejaliwa kupata mtu makini baada ya kulia kwa miaka mingi? Watu wanaompinga Dr. Silaa wanampinga kwa lipi baya alilofanya?

  NITASHANGA WATANZANIA WAKIMKUBALI KIKWETE NA KUMKATAA DR. SILAA. NASEMA TENA NITAWASHANGAA SANA WATANZANIA - MASAUNI
   
 5. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM has already won! You have no choice but to accept it. JK will be officially inaugurated on December 9th 2010. The voice of the majority Tanzanians will have the final say. More and more foreign/Asian investors will be coming to invest in this great country again.
  I love Tanzania. The oasis of peace and kind people. One nation under the creator.
  I love CCM
   
 6. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,938
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Post nzuri sana hii - JK akishinda watanzania wote watakaompa ushindi kwa namna yoyote ile watakuwa wanakubaliana na Ghadafi kwamba waafrika wa kusini mwa jangwa la Sahara ni wajinga/ wapumbafu! Pia sitaumia tena kuona watanzania wanawake wanalala wawili wawili kabla na baada ya kujifungua hospitalini; sitaumia tena kuona watoto na wajukuu wetu wanakaa chini darasani, sitaumia tena kuona wimbi kubwa la vijana wadogo wanauza biashara ndogo ndogo na wa kike kujiuza barabarani nyakati za usiku, sitaumia tena kuona maisha mabaya kwa kila mtanzania kwani tumetaka wenyewe; bali nitamwomba Mungu bila kukoma ili awasamehe watanzania watakaofanya hivyo kwani hawatakuwa wanajua walitendalo; yaani, kuwaingiza wenzao na wao wenyewe kwenye lindi kubwa la umasikini na maisha ya kishetani!!
   
 7. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,400
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  So there are foreign investors and Asian investors? That firm RITES which swindled the Railway Authority in Tanzania TRC; was an Indian Investor! How much did you pay the officials? That is only once example how these thugs have to leave the government to Dr. Slaa.
   
 8. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2010
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Akutukanae akuchagulii tusi. Wadanganyika mkitoka hapo muendeleze misemo yenu ya Ndugu Zetu Wenye Asili ya Kiasia! Toba!!
   
 9. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mimi mijitu hii naichukia sana tena sana maana wao ndio asili ya matatizo yetu mengi.

  Sifichi na wala si racism lakini tokana na tabia yao wenyewe ya wizi na ubaguzi nimejikuta siwapendi na narudia nasema siwapendi kabisa. Nawachukia kiasi kwamba nikipewa nchi kuiongoza naweza kufanya kama Amin alivyofanya kwao. Woooooooooooooote nawaamuru kurudi nchi zao.

  Wanasema Tanzania ni nchi ya amani na wanaipenda maana ni nchi hii tu ambako wanaweza kuja hawana kitu wakawachezea viongozi wetu na kuiba huku na sisi wadanganyika tukiwachekea.
   
 10. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hata mie nitashngaa kama Slaa atashinda. Si kwa sababu ya kuwa hafai la hasha.. bali mtumbwi anaoutumia kumfikisha hauna mwamana na umekosa sifa maridhawa za kuaminiwa kuongoza nchi... kwani demokrasia ndani ya mtumbwi huo ni wa mashaka makubwa..uteuzi wa viongozi wake katika ngazi muhimu umegubikwa na ukabila...na ukifurukuta kupingana nao wataku-wangwe. Kasoro hiyo ipo pia CUF. Lakini hii haina maana kuwa naishabikia CCM...naichukia mno kwa namna ilivyojiwekea ukiritimba na kujigeuza kuwa ni mali ya matajiri na mafisadi wasioitakia mema nchi hii. Nitafarijika iwapo vyama vya upinzani vitapata angalau nusu ya wabunge ili kurekebisha mambo mjengoni.
   
 11. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  When the character of a man is not clear to you, look at his friends
   
 12. Zungu la Unga

  Zungu la Unga Member

  #12
  Sep 9, 2010
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utarudi wewe kwenu Msumbiji huku Wahindi wakiendelea kupeta.:eyebrows:
   
 13. Zungu la Unga

  Zungu la Unga Member

  #13
  Sep 9, 2010
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Basi jitayarishe kuwashangaa Watanzania kuanzia sasa!
   
 14. Zungu la Unga

  Zungu la Unga Member

  #14
  Sep 9, 2010
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kawaulize waliotoa WARAKA watakueleza kwanini walimsifia Kikwete wakati ule na kumuita Chaguo la Mungu. Tatizo lenu kesho ukitoka WARAKA mwengine huko unakotoka basi mtarudi huko huko na kusahau mnachobwabwaja sasa hivi.:glasses-nerdy:
   
 15. m

  mtiwadawa Member

  #15
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Ndugu yangu wewe,ya kweli hayo?!.labda,sijui.na ya binafsi hatuyasemi.
   
 16. F

  Froida JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Ndio mutaminiminika sana kuja Tanzania , siku hizi munanyimwa visa za marekani,uingereza na canada hamuwezi kuhamia huko tena wenye nchi zao wamewasitukia kwa ujambaaawazi wenu mafisadi wakubwa , kawachukue wote wanaokunya mavi pale airport ya Bombay na vibakuri mkononi , wakimuomba kila anayetelemka kwenye ndege,uwalete Tanzania harafu uwaite investors, au kawachukue waliozaliwa kwenye mikokoteni au kwenye vibanda vya makaratasi kwenye mitaa ya Bangalore ,utumbo mtupu
   
 17. Zungu la Unga

  Zungu la Unga Member

  #17
  Sep 9, 2010
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kajifunze kuandika Kiswahili fasaha kabla ya kujifanya Mtanzania kwa sana!

  Wewe unakunya nini? Dhahabu ama zabibu?
   
 18. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #18
  Sep 9, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ile button ya kureport watu kwa mods sijui iko wapi?!
   
Loading...