Elections 2010 Mbunge Njombe kukosa kura kisa kasema "Mmepanua wakinga tumeingiza"

palalisote

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
8,335
1,455
Mgombea wa ubunge kupitia CCM njombe kaskazini Jah people ambaye elimu yake ya ni darasa la PILI SIYO LA SABA kama yeye alivyo jinadi amewakera wabena wa njombe na hivyo kudiriki kusema kura zao zote wanampa Alatanga Nyagawa wa CHADEMA. Yule jamma ni mkinga na ujuavyo wengi wa wakazi wa jimbo hilo ni wabena eti ana waambia wabena MMEPANUA WAKINGA TUMEINGIZA.
 
Title: Anna Makinda alitoa rushwa ya shilingi milioni 50 ili apite bila kupingwa.

Mada: Jah People amewatukana wabena

Mbona unani-mix ndugu yangu? Rekebisha basi au omba msaada wa Mod.
 
Mgombea wa ubunge kupitia CCM njombe kaskazini Jah people ambaye elimu yake ya ni darasa la PILI SIYO LA SABA kama yeye alivyo jinadi amewakera wabena wa njombe na hivyo kudiriki kusema kura zao zote wanampa Alatanga Nyagawa wa CHADEMA. Yule jamma ni mkinga na ujuavyo wengi wa wakazi wa jimbo hilo ni wabena eti ana waambia wabena MMEPANUA WAKINGA TUMEINGIZA.

XXX-rated thread!
I never comment on porno!
 
Naitaka hiyo habari ya rushwa aliyotoa Anna Makinda.Tuchanganulie hizo habari zote mbili maana unatuacha hewani.
 
Mgombea wa ubunge kupitia CCM njombe kaskazini Jah people ambaye elimu yake ya ni darasa la PILI SIYO LA SABA kama yeye alivyo jinadi amewakera wabena wa njombe na hivyo kudiriki kusema kura zao zote wanampa Alatanga Nyagawa wa CHADEMA. Yule jamma ni mkinga na ujuavyo wengi wa wakazi wa jimbo hilo ni wabena eti ana waambia wabena MMEPANUA WAKINGA TUMEINGIZA.
?????????
 
Sijui MOD aazishe tution kwa hawa ndugu zetu ili wajue jinsi ya kuandika na kutuma post zao
 
Kwahiyo jamaa anajipa maujiko amepiga hadi seven?
Ila sisiemu kweli chama cha mafisadi. Yaani wanasimammisha m2 wa class 7 kisa ana Pesa.
Haya sasa angalia kauli anazotoa Jukwaani!!!
Kauli kama hizi zinatolewa na wale wabeba zege ambao hawajawahi kuona kona nne za darasa.
mwaka huu kazi Hipo!
 
Yule mgombea mwenza wa Santuri kaishia darasa la ngapi vile?

aah ndugu yangu,mbona unatuchosha kwa kuuliza majibu!!?
Yupi kwanza,yule mgombea mwenza wa Dr.Slaa?,si darasa la saba na mkondo ni B.
au unataka kujua somo la Hisabati alipata nini?
 
Sijui MOD aazishe tution kwa hawa ndugu zetu ili wajue jinsi ya kuandika na kutuma post zao

Hakuna haja ya tuisheni kwa sababu kila kitu kimeandikwa pale kwenye ukaribisho, ni kuzingatia maadili tu
 
Mgombea wa ubunge kupitia CCM njombe kaskazini Jah people ambaye elimu yake ya ni darasa la PILI SIYO LA SABA kama yeye alivyo jinadi amewakera wabena wa njombe na hivyo kudiriki kusema kura zao zote wanampa Alatanga Nyagawa wa CHADEMA. Yule jamma ni mkinga na ujuavyo wengi wa wakazi wa jimbo hilo ni wabena eti ana waambia wabena MMEPANUA WAKINGA TUMEINGIZA.

Naomba msaada kutoka kwa wajuvi wa lugha.
Huyu mgombea alimaaninisha - Mmepanua midomo tunawaingizia chakula mle au mmeshindwa kugombea mnaostahili kwa hiyo tumeingiza vilaza kama Jah People au imekaa vipi hii?
Au jamaa kaoa Wabena nini?
 
acheni matusi kama huyo mgombea wa njombe.

Si mgombea wa Njombe ni Njombe Kaskazini.

Kuhusu matusi ni kawaida ya mtu aliyejikinai ama mwenye kiburi ama aliyejaa dharau huwa anayatoa tu (directlt au indirectly)
 
Mkuu vp Alatanga atachukua kweli?
Lakini naona Jah pipo anakubalika kwa pale M.K.B sasa kama ameanza matusi sijui kama atapita.
 
Sio wakinga tu, kwa jinsi CCM wanavyo tufanya wajinga ni kwamba kila mwaka wa uchaguzi, "WATANZANIA TUNACHA WAZI AU KUPANUA, NA CCM WANAINGIZA"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom