Recent content by mtishbieliya

  1. mtishbieliya

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hao ni wepesi sana wala haishangazi sana...Singida...mmmh
  2. mtishbieliya

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Duh.....ama kweli ukiwa domo zege wewe kapange chumba utajikuta unapata mwanamke kirahisi sana bila matarajio.
  3. mtishbieliya

    Maisha ya ubachela

    Watu wanashindwaga kuelewa juu ya kuoa na kuolewa, ni jambo zuri sana na ni mpango mzuri sana wa MUNGU ili mwanadamu asiwe masikini Bali awe tajiri maana katika Mwanzo 1:26-29 imeandikwa , akawabarikia, ina maana wakiwa wawili na si mmoja. Pia kwenye mhubiri 4:9-12, imeandikwa , Afadhali kuwa...
  4. mtishbieliya

    Why me? Kila mahusiano napitia magumu

    Venuss , kwanza napenda kukupa hongera kwa kiwekezo alichokujalia MUNGU wa ELIYA yaani ninamaanisha nyota an kipawa cha mafanikio, na ndiyo maana mwanaume utakaye kuwa naye lazima afanikiwe na akiachana na wewe lazima aloose. Sasa kwanza usikate tamaa kabisa, cha muhimu mtangulize MUNGU naye ni...
  5. mtishbieliya

    Mume anahitajika, mtu mzima miaka 45 kwenda juu

    Israelibaraka24@gmail.com
  6. mtishbieliya

    Mponye mpenzi wako kwa kumtendea haki

    TAFADHALI KUWA NA HURUMA. Sio sawa kabisa kuingia katika mahusiano na mtu na kumfanya atengeneze hisia za kukupenda wewe, kumfanya mtu aamini kuwa wewe ni wa tofauti na wale wote ambao wamekwisha muumiza kihisia hapo mwanzo. Anakuamini na anakukabidhi moyo, mapenzi na mwili wake, anakutegemea...
  7. mtishbieliya

    Looking for male friend

    Ok
  8. mtishbieliya

    ''Imani Kali'' inaitia ndoa/familia yangu majaribuni

    Sijakwambia ni adhabu ndugu na wala yeye mkeo hana udini , nilichokuambià tena iwe faida na kwa wengine, kwamba wewe umebahatika kupewa mke mwema na MUNGU, ambaye anampenda MUNGU na anakupenda kiasi hicho unachokisimulia unapaswa kumshukuru MUNGU na kutoa sadaka ya shukurani kwa kwa MUNGU kwa...
  9. mtishbieliya

    ''Imani Kali'' inaitia ndoa/familia yangu majaribuni

    Dah! Munisijo, Kwanza kabisa nakupa "hongera" kwa MUNGU wa ELIYA, 1 falme 18:21-40, kwa kukupa mke mwema sawa na Mithali 31:10-31, tena ningekushauri kuanzia muda huu unapo soma huu ushauri wangu, ungeandaa sadaka ya shukurani kwa mungu kwa kukupa mke mwema, kwa ajili ya kwenda kuitoa...
  10. mtishbieliya

    Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

    Maneno mazuri tu kwa mke wako yanatosha kuwa wewe mwenyewe ni zawadi kwake kutoka kwa MUNGU, furaha yake ikazidi kuliko sasa.
  11. mtishbieliya

    Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

    Kaa naye katika muda ulio tulia na mahali palipo tulia mweleze kile ulichonacho moyoni mwako na furaha iliyopo moyoni mwako juu yake kwa hisia za ndani kabisa ya moyo wako nayo itakuwa zawadi nzuri sana moyoni make huku ukisindikiza na neno, " nakupenda mke wangu, wewe ni wa thamani sana kwangu"...
  12. mtishbieliya

    Call ya house girl kwa mume wangu

    Tunza ndoa yako mkebora hayo na majaribu na mitihani wapaswa kuishinda usichukulie hasira!
  13. mtishbieliya

    Call ya house girl kwa mume wangu

    Kweli Mke bora , Mr alikosea kuficha simu yake baada ya kuongea na HG. Na ulichofanya cha kuwaita au kukaa nao pamoja na kuongea nao umefanya vizuri sana maana umewadhihirishia kuwa hujapenda kitendo kule walichokifanya , na ukamwelewesha huyo HG utaratibu anaotakiwa kuufuata pale anaokuwa...
Back
Top Bottom