Recent content by MTISHBI

  1. MTISHBI

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu Ontario thanks for sharing, ni watu wachache sana wenye moyo kama wako. This is the new beginning for hard workers, napenda challenge za namna hii. Nipo kwenye Demo account though bado inanizingua naamini nitaiweza tu, kuna usemi huwa natumia sana unasema ' when things seems to be...
  2. MTISHBI

    Bodi ya Mikopo yatangaza majina 1,091 ya wadaiwa (Awamu ya kwanza)

    Kukosa umakini kwa Taasisi hii nyeti kumeendelea kuonekana pamoja na reshuffle kubwa iliyofanywa na Mh Waziri. Wamekuwa wakihimiza wadaiwa kujitokeza na kuanza kulipa na kwa kweli muitikio umekuwa mzuri na ndio maana wanatamba kuwa sasa hivi makusanyo sio haba kama ilivyokuwa hapo awali. Cha...
  3. MTISHBI

    Kuididimiza sekta ya MITUMBA ni kuondoa ajira na kuongeza umaskini kwa jamii

    Katika bajeti ya mwaka huu 2016/2017 Serikali imeonesha nia ya kuididimiza kwa kupandisha kodi na hatimaye kuiua kabisa sekta ya mitumba miaka michache ijayo. Sekta ya mitumba inatoa ajira kwa watu wengi sana wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume kwa nchi nzima. Sidhani kama viwanda...
  4. MTISHBI

    Biashara tiles ya Spain

    Nilikuuliza kama bado zipo hujajibu
  5. MTISHBI

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Tuti Tuti & SONGOKA inaonesha ninyi ni Wazalendo wa kweli ila mnapungukiwa taarifa sahihi ya mnachokisema, niwashauri mtafute taarifa za utendaji wa TMAA kabla hamjajidhalilisha kwa kuchangia vitu msivyojua, taarifa hizi mnaweza kuzipata kwenye hansard za Bunge au hata tovuti ya TMAA mkaangalia...
  6. MTISHBI

    Mzee Reinfred Masako, Mungu atakulipa kwa kazi nzuri

    Masako amekuwa anaonyesha mahaba ya waziwazi kwa ukawa, juzi kama uliona kipima joto utakubaliana nami, mwakilishi wa ccm Dr Fransis alipewa dakika 3, Mnyika na wengine walipewa more than 15 minutes! ilibidi Dr Fransis awe mbogo hadi kwa aibu Masako akakubali kumpa nafasi mwisho ili arudie...
  7. MTISHBI

    Nissan civilian body required

    Nahitaji Nissan Civilian Body any model
  8. MTISHBI

    Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

    LEADERSHIP ROLE MODELS "Think global, but act local" is not just a phrase for sustainability; it also can be applied to how we behave as leaders. It turns out our most important role models are "local". They are the people with whom we interact and have contact with the most. Dah! CDM from...
  9. MTISHBI

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    KAMA NI KWELI BASI CHADEMA YETU NDIO INAISHIA HIVYO, hakuna future nzuri tena hapo maana watu wanaokubalika vizuri na wasomi na wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja zisizo za kizushi ni Zitto, Kitira na Mnyika. Wengine wanauwezo ambao hautaifikisha CDM popote. Nadhani ssM watakuwa wanafanya...
  10. MTISHBI

    Online petition thidi ya kauli ya waziri mkuu wa Tanzania

    Tuache kupindisha maneno, Mh. Pinda hakusema polisi wapige watu HOVYO mitaani! Kama hukumuona wakati anaongea ni bora utafute nini aliongea kabla ya kushabikia kitu usichokijua. Alichosema ni kuwa wale ambao hawatatii amri halali na sheria za nchi ndio wapigwe tu ikiwa ni njia halali inayotumika...
  11. MTISHBI

    Master PLan ya Mji mpya wa Singapore

    Tunakupongeza Mama kwa jitihada zako za dhati. Kujenga miji mipya kunajumuisha mambo mengi sana hivyo kuna hitaji umakini wa hali ya juu. Nilipita pale Gezaurole walipogawiwa watu awamu ya kwanza nikaona tayari mitaa na barabara zinachongwa kwa kweli kunapendeza ila watu wameanza kujenga kwenye...
  12. MTISHBI

    Albert Mangwea (Special Thread)

    Tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti....., ndugu zangu wapendwa msidanyanywe....mtenda dhambi ni mtumwa wa dhambi...., Mi sielewi fun wa Ngweah wanasema sio Unga wala sio sumu, inakuwaje wote na m2 the p kuungua pamoja? what a coincidence! hebu tujue ukweli
  13. MTISHBI

    Kibonde amtetea Ngeleja

    Is this the home of Great Thinkers? Look at ideas of Great thinkers like Gandhi
  14. MTISHBI

    Kibonde amtetea Ngeleja

    Duu! kweli CDM kina wenyewe naona mkanganyiko wa mambo kweeli, siasa, personal issues, unyanyapaa! ustaarabu karibu na zero, wapo wachache sana ndio wastaarabu kuanzia viongozi hadi supporters; hivi wakichukua nchi itakalika kweli. Kibonde is so tallented, he can view things in 360 degrees...
  15. MTISHBI

    ITV na udhalilishaji wa wenzetu wenye ulemavu..

    Hili limekuwa tatizo kubwa ktk jamii yetu, mtu anapotoa msaada atataka watu wote wajue na kama hakuna watu wa habari anaweza akaahirisha kutoa msaada huo!Iwe kupeleka watu India au kuona watoto yatima, Mungu ametuelewesha namna ya kufanya pale tunapotoa sadaka kumbuka Kaini na Habili wote...
Back
Top Bottom