Online petition thidi ya kauli ya waziri mkuu wa Tanzania

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
3,792
2,362
Wandugu.

Ingieni Wavuti muweke sahihi tupinge matumizi mabaya ya polisi kwa kupiga watu hovyo mitaani kama alivyoagiza PM Kupitia maswali na majibu ya papo kwa hapo Bungeni.
 
Thanks, tunae mpaka atakapolia lia na kutuomba msamaha, amezoea "ni upepo, utapita" lakini huu hatopita. Zuzu mkubwa!
 
Tuache kupindisha maneno, Mh. Pinda hakusema polisi wapige watu HOVYO mitaani! Kama hukumuona wakati anaongea ni bora utafute nini aliongea kabla ya kushabikia kitu usichokijua. Alichosema ni kuwa wale ambao hawatatii amri halali na sheria za nchi ndio wapigwe tu ikiwa ni njia halali inayotumika na polisi popote duniani ku-deal na watu wa namna hiyo. Ukiwa suspect polisi wakitaka kukukamata ukawa unakataa, watakupiga tu ili kukukamata kwa nguvu. Kama unataka kutest jaribu kwenda pale ubalozi wa Marekani muda ambao hawaruhusu watu kuingia eneo lile halafu ulazimishe kuingia uone watakachokufanya. Polisi wasipofanya hivyo tutaishi vipi? tuache siasa za kitoto za kupindisha maneno.
 
Wewe huwajui vizuri polisi wa tanzania.Ni kweli WM alisema kama ulivyoeleza ila sasa huku mitaani polisi watatumia hiyo kauli kama kisingizio cha kukomoa wananchi kwa kuwateremshia kipigo. Hii imeshaanza kutokea huko Makambako.
 
Tuache kupindisha maneno, Mh. Pinda hakusema polisi wapige watu HOVYO mitaani! Kama hukumuona wakati anaongea ni bora utafute nini aliongea kabla ya kushabikia kitu usichokijua. Alichosema ni kuwa wale ambao hawatatii amri halali na sheria za nchi ndio wapigwe tu ikiwa ni njia halali inayotumika na polisi popote duniani ku-deal na watu wa namna hiyo. Ukiwa suspect polisi wakitaka kukukamata ukawa unakataa, watakupiga tu ili kukukamata kwa nguvu. Kama unataka kutest jaribu kwenda pale ubalozi wa Marekani muda ambao hawaruhusu watu kuingia eneo lile halafu ulazimishe kuingia uone watakachokufanya. Polisi wasipofanya hivyo tutaishi vipi? tuache siasa za kitoto za kupindisha maneno.

Pamoja na kujaribu kumtetea, ukweli unabaki pale pale, kama kiongozi mkuu wa serikali, Pinda hakutakiwa kutamka hilo. Kama kiongozi, unatakiwa uwe mwangalifu katika matamshi yako kwa kuzingatia kwamba wananchi wa ngazi zote watakuelewa bila utatata. Lakini ninashangaa matamshi haya yanalalamikiwa na maprofesa, viongozi wa dini, wanasiasa, wafanya biashara, wakulima na vijana. Ukitafakari kwa undani unagundua kuwa serikali imeruhusu polisi kupiga watu kwa vile wamechoka. Ila huko nyuma, hawakuwa wanapiga maana walikuwa hawajachoka. Ni sheria ipi inayosema hivyo? Tukubali Pinda alikosea arudi kwa wananchi na kuomba radhi yaishe tusonge mbele. Pinda ajiweke kuwa yeye ni binaadamu kama mimi au wewe kwa hiyo kuna kukosea na ukikosea sahihisha. Kama watu hawakukuelewa, pia omba radhi maana umetamka kitu cha kuwachanganya watu.
 
Mapolis mengi yalifurahi sn kuckia kauli hiyo,raia mtanyanyaswa na kupigwa sana mpaka mkome.Nyie mnaounga mkono hiyo kauli ya aliyepinda cjui mko nchi gani!!!!!. na mna akili aina gani!!!!? Hv mnaifahamu vizuri Policcm ya Tz!!!???
 
Back
Top Bottom