Recent content by mtingi1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya Wakatoliki, Gwajima ndiye askofu namba moja Heavyweight anayeweza kuongoza kikosi cha mashambulizi ukawa na uhakika wa ushindi

    Mimi daima huwa mvivu kusoma thread ndefu kama hizi, ila leo umenipata, bonge la thread, bog up
  2. M

    JamiiForums Tanzania Iran bado ina nguvu za kijeshi

    Trump aloshauriwa na wataalam kuwa aisitie mguu Iran hakutaka kusikia, sasa anatafuta mlango aa kutokea na Iran kasema hakuna, tuzichape tu. Hapo patamu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nipe uzoefu wako kuhusu Songea/Ruvuma

    Nimependa sana kuna uoto wa asili mzuri
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nipe uzoefu wako kuhusu Songea/Ruvuma

    Maisha mzee
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nipe uzoefu wako kuhusu Songea/Ruvuma

    Wakuu heri ya jumapili, Kwa mara ya kwanza nimefika mkoa wa Ruvuma aka Songea. Naomba kujua maeneo muhimu nifike ili nisijilaumu nikiyajua baada ya kurudi nilikotoka! Hayo tu wakuu, natanguliza shukrani za dating. Uzi tayari
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 40-45

    Ili iweje
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini maandamano October 29 yalifeli?

    Sharifu majini is dead
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa miaka 11 naomba ushauri

    Asipokuelewa hapa basi kweli akili yake ipimwe
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katalyeba: Wananchi wa Buchosa tumetosheka na kasi ya maendeleo, hatuhijaji Siasa za Ubwabwa

    Hapo hata lami hakuna kwa hio nyie hamtaki barabara za lami?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mlinogewa sana kuua waTanzania nyie watu, nyie ndiyo sababu hakukuwa na amani nchini

    Waliotoa mimba nao tuwaweke gundi gaming mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wana JF wengi hawapendi kuchangia nyuzi za kimombo?

    Shusha kimombo basi tuchangie
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kulikoni mbona maandamano ya Oktoba 29 yanazidi kushika kasi

    Nasoma comments
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nina safari ya Dar kwenda Kigoma. Madereva nipeni uzoefu!

    Tabora kigoma ni kama 7hrs
  14. M

    JamiiForums Tanzania Walaji wa nyama ya nguruwe wanaweza kupatwa na saratani

    Na wale wazama chumvini? Tuacheni sisi tule nyama tamu
Back
Top Bottom