Kwa nini maandamano October 29 yalifeli?

Kwa nini maandamano October 29 yalifeli?

Maandamano hayakufeli, waliofeli ni wale waliotakiwa kulinda waandamanaji i.e Polisi.

Polisi wangetimiza wajibu wao, hakuna mali ya mtu hata moja ambayo ingeharibiwa, wao walipaswa kuwaongoza waandamanaji wa-raise concerns zao wanazozitaka. Badala yake polisi wakajikita na vitisho na kuanza kuwa-shoot raia.

Mpaka jeshi linaingia road kuwalinda waandamaji ina maana intelijensia ya uhakika ilikuwepo kwamba maandamano yapo na walikuwa na wana uhakika polisi wanachoenda kukifanya.

Malengo ya waandamaji yamefikiwa kwa 150%. Kwa sababu kinachoenda kutokea sasa hivi ni reforms, wapende wasipende!
Police ndio waliokuwa wauaji wenyewe , video zipo kila Kona tena na wengine na uniform na magari yao
 
Robert! wee ni miyeyusho sana, em rudia utafiti wako tena.
 
Huyu kujifanya ana akili ni miandishi mirefu isiyoeleweka kama uji, anaboa kishenzi, halafu haya mafala na lile lingine Lucas Msandambwa yanaandika kama kitabu, hayajui summary
 
Mafanikio yake ni ile kuonekana yalifanyika

Lakini tukirudi kwenye malengo ni kwamba yamefeli.

Kwa sababu swali litaulizwa, kwa nini watu waandamane?
Kisha litafuata, je madai ya maandamano yamejibiwa walau dai hata moja? Au malengo yamefikiwa?

Ni kwamba hayajafikiwa.
Kwangu naona yamefanikiwa kwa vile nilikuwa najua kabisa hakuna kijana hata mmoja wa Tanzania ataingia mtaani! Ukikumbuka zile command za Mh. Murilo Telewa unajua kabisa vijana wataufyata! Lakini mwisho wa siku kamanda alihama nyumbani kwake!
 
Shots za maneno yako mwenyewe, sijui mnaandika vitu ili mfaidike nini, hasa vitu vinavyogusa maisha ya watu.
Screenshot_20251111_192105_Chrome.jpg
Screenshot_20251111_192041_Chrome.jpg

Mnatakiwa kuwa makini, hasa nyie mnaopenda kuandika makala, you're provoking people, mkitukanwa mnaona kuonewa!! Kumbukeni damu zimemwagika.
 
Umeandika makala ndefu kama mwanamke wa taarabu .....
Sisi tuna mambo mengi ya kufanya hatuwezi kusoma UJINGA mrefu namna hiyo
 
Uzi wowote ambao nikiona tu mwandishi anaanza kwa maneno ya selfe defence (kutengeneza backup ya kumlinda) najua hapo hamna kitu zaidi ya bias na uzugaji.

Unaposema maandamano hayakuzidi masaa 6, ulitakiwa utuambie hii umeitoa kwa mujibu wa tafiti gani?

Maandamano hayakuzidi masaa sita.
Yalikuwa yanatokea na kupotea na yakitokea hayamalizi haya dakika 10 -20 wanatawanyika kunakuwa peupe.

Nakuhakikishia ukijumlisha Masaa ya nchi nzima hayawezi kuzidi masaa sita.

Ila doria ndio ilikuwa ya siku sita mpaka saba.


Au lah utuambie fact yako imezingatia muktadha wa eneo dogo ambalo wewe ulikuwepo kwenye hiyo siku.

Lakini ku generalize kusema maandamano hayakuzidi masaa 6, huo ni uongo pure.

Niambie eneo gani Dar maandamano yalidumu walau lisaa limoja non stop?

Sio kwamba nadogodesha kilichofanywa na waandamanaji bali nazungumzia kilichotokea.

Wanaandamana labda kutoka Ubungo kuelekea shekilango. Kabla hawajafika ndani ya dakika 10 wanatawanywa kuna kunatulia. Wanafanya hivyo labda mara nne kisha panakuwa kimya moja kwa moja.

Barabara zilikuwa hazina vizuizi magari ya polisi yakitoka huko yanakotoka ndani ya dakika mbili njia zote zinakuwa nyeupe watu wamekimbia.

Pengine vingekuwepo vizuizi barabarani yangedumu kwa masaa mengi zaidi kama sio siku nzima
 
ifike wakati jf iweke utaratibu wa mtu akipost upuuzi kama huu apigwe ban ya milele,

sio huyu huyu kenge alisema hakuna wa kuandamana, leo anakuja na uchambuzi uchwara, mtatoa miguno yote wallah, na badooo
Wajinga kama hawa ni kuwapiga ban Tu
 
JF naona kuna watu wako average kwenye kufikiria unasema maadamno yamefeli alafu CDF ndo alitoka kuzima maandamano hii Tanzania imewahi kutokea lini? kwa maana hiyo bila JW nchi ilikua imeenda
 
Hakunaga maandamano ambayo waandamanaji wote wana lengo moja. Halafu kufeli kwa maandamano maana yake watu wasijitokeze kuandamana. Kama walijitokeza kwa wingi basi maana yake maandamano yalifanikiwa.
 
Kwangu naona yamefanikiwa kwa vile nilikuwa najua kabisa hakuna kijana hata mmoja wa Tanzania ataingia mtaani! Ukikumbuka zile command za Mh. Murilo Telewa unajua kabisa vijana wataufyata! Lakini mwisho wa siku kamanda alihama nyumbani kwake!

Kwa kiasi mafanikio yapo hasa kwa vile ni mara ya kwanza.
Lakini tukija kwenye malengo. Haifiki asilimia hata 30% kujitokeza ndio angalau inaweza kuwa asilimia 20%

Makosa yaliyofanyika ni vurugu na wezi kujichanganya na waandamanaji. Hivyo badala watu wasonge mbele wengi walijikuta wanaenda kuiba.
 
Kwa kiasi mafanikio yapo hasa kwa vile ni mara ya kwanza.
Lakini tukija kwenye malengo. Haifiki asilimia hata 30% kujitokeza ndio angalau inaweza kuwa asilimia 20%

Makosa yaliyofanyika ni vurugu na wezi kujichanganya na waandamanaji. Hivyo badala watu wasonge mbele wengi walijikuta wanaenda kuiba.
Mimi naviomba vi Gen-Z vije tena kabla mwaka haujaisha na safari hii vijitoe muhanga kabisa maana havina cha kupoteza maadamu wenzao wameshauawa!
 
Kuna watu wengine ili kufeed "ego" zao ni lazima wapingane na wengi ili wajifeel eti wao ni tofauti.

Nchi nzima iko kwenye kilio cha kuuawa wapendwa wao ambao waliandamana kudai haki nchini na wengine kuuawa majumbani mwao halafu wewe unabeza sacrifice zao. Hii ni ajabu sana
 
Back
Top Bottom