Naunga hoja, wan awake huwapenda sana wanaume waliowatoa bikira zao .kama ukioa bikira na kumtoa bikira hiyo we we mwenyewe pia akafundishwa mjadiliane mema ya jamii basi siyo rahisi kumsaliti ndoa.
Anunue kiwanja Kwanza na kuanza kujenga nyumbani polepole. Hiyo hela into shape kabisa kununua kiwanja na kujenga nyumba . Ukishakuwa na nyumba yako ndiyo ununue gari.
Mkikorofishana usiende kushitaki kwa wakwe zako, wakwe zako hawatakusaidia kwani Huyo ni mtoto wao yaani nidamu yao hawawezi Kuwa upande wako wakasliti damu yao. Suluhu ya kweli Mkikorofishana name wako jioni we we mwache alale asubuhi baada yahasira kwisha , mkae ndani ya chumba chakulala...
atakuja kukuambukiza ukimwi ndiyo maana amekupa hela yakujitibia baadaye utakapo kuwa umesha ambukizwa ukimwi . kama amekupa pesa ushauri wangu akija usimgegede kwani anaukimwi huyo kimbia
libwata nisumu inayokwenda kuhalibu ubongo wa mwanaume aliyekula , kazi ya libwata nikuua ubongo wamwaume na kumfanya kama zezeta .hii sumu nimbaya sana kwani huua kabisa ubongo wa mwanaume na kushindwa kufikiri sahihi . ufanisi wakazi wa mwaume ushuka na mwisho kushidwa kufanya kazi na...
wewe mwenyewe umekili kuwa unamazoea na wanaume wanaokuja dukani kwako. hili nikosa sana kwa mke wamtu kuwa na mazoea na wateja wakiume mpaka wanaenda china na kumnunulia zawadi .Biashara ni kati ya mteja na mnunuzi , menyeduka anatoa mali mnunuzi anatoa pesa , sasa wewe imekuwa tofauti meja...
ukiona msichana wa aina hiyo jua anauza kwa hiyo ni vyema kila mnapofanya mapenzi mkubaliane na kulipana kama wanavyo fanya changudoa kwani hata huyo nichangudoa tu
mwambie sawa kama anamrudisha huyo hausi girl basi mbaki bila hausi girl kazi zote atafanya yeye mwenyewe. akikikubali huyo hausi girl mtafutie kazi sehemu nyingine. nihatari kubwa sana kukaa na hausi girl ambaye anachukiwa na mke wako. mkeo anaweza akamfanyia kitu kibaya sana.ukitoa huyo hausi...
wewe hakiaka siyo wife material kabisa na ukifanya revence utaprove kuwa siyo wife material kabisa na mtaachana na huji kuolewa na mwanaume mwingine maishani mwako utaishia kuzaa tu na kuachwa. mwanamke au mwanaume mwenye visasi hafai kabisa katika ndoa. kama unataka revence ya kweli basi...
watu tunatofautiana sana mitazamo ya kimaendeleo. mimi mtu akijenga nyumba kwanza ndiyo baada ya kujenga anunue gari naona anamtazamo wa kimaendeleo , lakini mtu anayenunua gari wakati hana nyumba naona hana mtatazamo wa kimaendeleo. sasa yawezekana na yeye amekuona wewe siyo mtu wamaendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.