Kununua gari au kujenga nyumba

Kununua gari au kujenga nyumba

hiyo nyumba angekua anatembea nayo mgongoni kama konokono au kobe sawa!!! anunue gari ang'oe watoto wakali kama Clement
 
Anunue kiwanja Kwanza na kuanza kujenga nyumbani polepole. Hiyo hela into shape kabisa kununua kiwanja na kujenga nyumba . Ukishakuwa na nyumba yako ndiyo ununue gari.
 
Habari wadau, Nina rafiki yangu wa siku nyingi alinifuata hivi karibuni kuniomba ushauri, yeye ameoa na wamebahatika kupata watoto wawili, kwa sasa anaishi nyumba ya kupanga. Ameniambia yeye na mkewe wapo katika malumbano ya kuhusu kipi waanze kukifanya kati ya kununua gari ama kununua kiwanja na kuanza ujenzi!! Kipato chao kwa mwez jumla huwa kati ya sh lak 8 hadi mil 1 na lak 2. sijui ndugu zangu mngewashauri waanze na ujenzi au gari?

vyote ni muhimu ila nyumba zaidi, kama hela inatosha kujenga nyumba na kuimaliza na ajenge, kama haitoshi anunue gari, kujenga kwa kudunduliza ni mtihani, unahitaji zaidi ya miaka kumi kujenga nyumba standard, si bora umalize tatizo moja, mambo ya nusu nusu hayafai.
 
Back
Top Bottom