Wife Anazingua

Wife Anazingua

Mkuu maskini wa akili asikufanye kweli kuwa ww ni maskini wa akili ivo.yaaaani.umtafute hg.halafu ghafla aseme tu hamtaki...hata haki za binadamu na utu haupo hapo.kabisa. kama vipi akapumzike yeye akishajifungua atapata akili😎

Hivi ataondoka kwa sababu zipi....
 
Last edited by a moderator:
housegirl ni muhimu kuliko furaha ya mke wako??

Huyo mwanamke naye kichwa maji tu...sasa unaweza kuiacha nyumba kisa humtaki hauzi gelo uliyeletewa...

Mtani mimi wanawake wenye mashauzi kama ya paka mlamba mchuzi huwa wananikera sana...
 
mwambie sawa kama anamrudisha huyo hausi girl basi mbaki bila hausi girl kazi zote atafanya yeye mwenyewe. akikikubali huyo hausi girl mtafutie kazi sehemu nyingine. nihatari kubwa sana kukaa na hausi girl ambaye anachukiwa na mke wako. mkeo anaweza akamfanyia kitu kibaya sana.ukitoa huyo hausi girl usitafute mwingine tena kuwa na msimamo asikuburuze tena
 
Namuonea sana huruma huyo binti, atarudije kijijini wakati ashaaga kwa jamii inayomzunguka kuwa kapata kazi.
 
leo asubuh nimepigiwa cm hausgal wa mama kafaulu hivyo namuomba nimtumie mama alafu nitakurudishia gharama i mean tutagawana hasara
 
Mkuu atakupanda kichwani kuwa kama mwanaume. Yaani yeye ndio atake hg aje. Unasumbua watu wakutafutie halafu eti hamtaki. Sasa si angetafuta yeye basi. Na kama ikibidi huyo binti aondoke basi hakuna tena kutafuta hg. Mbona anakutia taabu hivyo janani khaaaa
 
Wife amestukia endapo hg atabaki hapo home huenda akaporwa ndoa yake,

inaonekana hg kamzidi wf wako kwa mvuto ndio maana hamtaki

USHAURI; Ili uinusuru ndoa yako usimrudishe nyumbani kwao huyo hg ila mpatie huyo TUKO au mwingine yeyote hapo mjini ila akuhakikishie usalama wake.
 
Kama ni mjamzito pole, mvumilie tu .mimba zina vituko sna. Ila nani atamsaidia kazi na hali yke hiyo?
 
Pole ndugu, mkeo inawezekana hajiamini au anakuhisi unademu nje au huyo hsg ni mrembo na anvutia kuliko mkeo si unajua wahaya miguu na macho yao ni balaa.
Nakushauri mrudishe kwao huyo hsg, ila mwambie mkeo haitotokea wewe ulete hsg akitaka amlete wa kwake na asikushirikishe. Chamuhimu gangamala kuwa mkali ilinaye aelewe kuwa umechoma pesa yako bure.


Habari MMU.

Jumanne jioni tulipata mgeni nyumbani kwetu (Housegirl). J5 asubihi nkamuacha wife na hsg home nkaenda kazini. Kabla ya kumleta yeye ndiyo alikuwa anamtaka na kusistiza ni muhimu atusaidie shughuli za hapa Home anachoka sana. Alionyeshwa picha tuliyotumiwa kwa email na kumhoji maswali kwa simu kabla sijatuma nauli (100,000) aje. Hsg katoka mbali sana Bukoba tulimpata kutokana ya kuwa ni mdogo wa Hsg wa rafiki yangu.

Cha ajabu ni kuwa toka alhamis wife aliniomba tumrudishe kwao eti hamtaki, mi nkamsihi ampe mda amzoee. Aliendelea kusema hamtaki mpaka jana usiku ukazuka ugomvi mkubwa kati ya mimi na yeye. Mwanamke haelewi kasimama kidedea Hsg aondoke. Hakuna kosa alilofanya mdada wa watu tena mpole sana. Namuuliza mke wang tatizo ama kosa lake hana hata moja anachojua yeye binti arudi kwao. Eti jamani utamfukuzaje mtu bila Kosa?

Mpaka sasa sababu kubwa ni kuwa roho yake inamchukia na anahisi si mtu mzuri. Kwa kuwa namtetea na sioni mantiki ya Hsg kufukuzwa jana kazusha kuwa nimempenda na nataka nitembee nae. Kila ninalomwambia aelewi mpaka sasa yeye kang'ang'ania Hsg lazma aondoke. Naona aibu kwa rafiki yangu aliyotutafutia kumrudisha tena kwako huyu bint tena bila kosa. Pia sitaki wanaume wenzangu ambao wananikubali waone kuwa naburuzwa na mwanamke.

Kilichonifanya niandike hapa ni kuwa kasema kama Hsg haondoki mpaka kesho basi ataondoka yeye aniache naye. Mimi nafikiria kukomaa kama anaenda na aende sitaki anipande kichwani au nakosea? Nishaurini jamani maana tatizo ni kwa nini analotaka lake na ni lazma liwe?
 
Usiumize kichwa wala kujipa majukumu ambayo ni mzigo kwako. Mrudishe huyo dada na umweleze mkeo kuwa atafute mfanyakazi ambaye yeye atamtaka. Ki ujumla mfanyakazi ni jukumu la mke kwani mara nyingi ndiye wanaokaa pamoja, mume wewe ni unaambiwa kama pendekezo na mtoa ushauri. Maadamu ni mjamzito wa mwezi mmoja bado ana mda wa kumtafuta yule yeye atakayemuona anafaa.

Angalizo:

usifanye lipizo la kumkataa mfanyakazi atakayeletwa na mkeo kisa yeye amemkataa wa kwako.
 
Komaa mkuu. Ukilegea na kuruhusu hsg arudi kwao bila kosa lolote la msingi maana yake iko siku utafungasha virago na wewe au ukaambiwa leo ni zamu yako kufua nepi za mtoto.
 
Maskani Wa Kali mtihani huo ulinikuta mimi; hg kamtafuta yeye mwenyewe ingawa alitumia watu, akamtumia nauli akaja tumekaa mwezi mmoja hamtaki bila sababu nilimwambia mke wangu tumetumia gharama kubwa kumtafuta na hakupatikana kiurahisi kwa nini tumrudishe bila sababu ya msingi?
tena kuna siku nilikoroga zaidi baada ya hg kuja alimpa simu ya mkononi ya nyumbani ambayo line iliyokuwepo ilisajiliwa kwa jina langu basi siku moja hg alitumiwa hela akataka kwenda kuitoa
akaniomba namba ya siri badala ya kumpa namba ya siri nikampa elfu kumi yake ile ile aliyotumiwa.
duu nilizua ugomvi wa ajabu kwa nn nimpe hela kwa nn nisingempa namba ya siri? kwa nin nimpe hela yote wkt angeenda kutoa kwa wakala angekatwa.
baadae nikamwambia kama anahitaji kumfukuza amfukuze lkn habari za hg sitaki kusikia tena. mpaka sasa sina hg wala gb
 
Pole ndugu, mkeo inawezekana hajiamini au anakuhisi unademu nje au huyo hsg ni mrembo na anvutia kuliko mkeo si unajua wahaya miguu na macho yao ni balaa.
Nakushauri mrudishe kwao huyo hsg, ila mwambie mkeo haitotokea wewe ulete hsg akitaka amlete wa kwake na asikushirikishe. Chamuhimu gangamala kuwa mkali ilinaye aelewe kuwa umechoma pesa yako bure.

Hsg ni binti mdogo sana ana miaka kama 15 tu wala sio wivu.
 
Mkuu mkubalie tu kwa hili, tafuta tu hekima yakuelezea juu ya jambo hilo, na usikubali HG ndoa itapotea mwache tu afanye hizo kazi ni wajibu wake hasa kama hafanyi kazi za ofisini. kama ni mfanyakazi basi mwambie atafute yule anayetaka yeye aca kng'ang'ana et tu kwa sababu ewe ni mwanaume

Naomba Tafadhali Nina shida na House girl

Rafiki yangu aliotutafutia amekataa anahofia usalama wa huyu binti. Itakuwa ngumu
 
Back
Top Bottom