King'asti I do think you miss to grasp some very crucial msg from
imaney
Huyu dada hajasema u fake kila siku !Kwa mfano jamaa ka cum na anaonekana kachoka.Je si ni vyema kumpa sifa za uanaume wake na ww u pretend just for that day kuwa ume cum?
Je ktk ndoa yako kila siku mmeo anafanikiwa kukufikisha?Haijawahi kutokea siku ikawa yy kafika ww bila bila au yy bila bila wewe moja?
Hata wanaume sometimes huwa tuna fake hiyo kitu!Siku zingine inatokea una game mbovu na mchumba kafika mapema;unadanganya unapiga kelele unakimbilia bafuni unavua haraka mpira una flash!Maana ukiendelea utamchubua/utachubuka tu na ndiyo point aliyojaribu kutengeneza dada huyu!
Nyie mnao pinga hili;Je ni kweli ktk love cycle zenu hamjawahi kuwa na bad game ukatoka bila bila?