kuna tatizo kat yenu sitaki kuamini kama gari ndio tatizo labda mmeachana katika kipindi wewe umenunua gari ndo mana unahisi tatizo gari...NGOJA NIKUNONG'ONEZE MKUU "VIP LAKINI NDUGU UWANJANI 6*6 UPO NJEMA NDUGU" usije ukamtafuta mchawi kumbe unajiroga ....mtaachanaje bila sababu wewee? muulize vizur tena mdadisi kifriend zaid had ujue.... MAGOT YANARUHUSIWA KM UKIGUNDUA KOSA TAFADHALIMwaka tu nimemudu corola, hizi ni dalili nzuri ila kaniacha.
jilipue, bado kuna kesho tena.
Mkuu jipange uza corolla vuta altezza, verossa au brevis..tupia tinted, 20" rims..mziki kidesign, muffler ya ukweli...neon..lights...ammiiini blaza lazima akae...humoooo....Over
Hahaha! Wacha nicheke kwanza! Haya sasa wanaume mnaosema UKIWA NA GARI Unapata warembo wa mujini KIKOAAAAAAAPIII!!! Shuutu!! Mwanaume mgegedo asikwambie mtu! Pyeeeeeeee! Weee mhudumu nileteee nyingine....!! Hii wikend itaniua wallah ingefupishwa!!
Inawezekana haumgegedi unafikiria gari lako tu lazimA akuache tu.
Tulipendana sana, akiwa UDSM na mimi MU na bado tulitembeleana bila kuchoka. Alibahatika kwenda nje ya nchi (a week school trip), aliniletea suit pamoja na ukubwa wake niliivaa. Mara ya kwanza kuvaa suit kanivalisha yeye.
Tulimaliza shule, nyumbani alifahamika na akazoeleka. Alipata tempo steers mimi nikiwa sina kazi. Daladala tulipanda wote, bajaji tulipanda wote na hata kuswampa tuliswampa wote.
Nilipata kazi nzuri kabla yake ila later on na yeye alipata. Maisha yalibadilika yakawa more improved na penzi pia lilinoga.
A year later nikanunua gari, wiki moja baada ya kununua gari akanitumia msg 'eti tubaki marafiki'.
I didn't take it serious ila muda ulivyozidi kwenda ndivyo alivyomaanisha.
Baada ya kubembeleza sana bila mafanikio hatimae tukaachana kabisa.
Nimechunguza kwa kiasi fulani hana mwanaume mwingine....
Tatizo ni hili gari (corolla)au kuna kingine?

Wavulana mna kazi kweli...
Mwaka tu nimemudu corola, hizi ni dalili nzuri ila kaniacha.
aisee hili balaa ! Mkuu njo kampani basi! We hujaachwa lakini!