mpaka unigegede kwanza!

mpaka unigegede kwanza!

atakuja kukuambukiza ukimwi ndiyo maana amekupa hela yakujitibia baadaye utakapo kuwa umesha ambukizwa ukimwi . kama amekupa pesa ushauri wangu akija usimgegede kwani anaukimwi huyo kimbia
 
Tatizo letu huwa hatujiulizi swali muhimu wakati tunataka kuoa ' je ninaye muoa alishakuwa na uhusiano na wanaume wangapi? na je ataachana nao wote?

Mkuu achana naye, hakuna cha urafiki kama mtu akijuwa bata wake analiwa. Wanaume hasira tunazo tukisikia tunaibiwa. Take my words.
 
Umeona kijana haya mambo yapo tu, hata mwanaume ukiasirika vipi mkeo akiamu kutoka na jamaa yake wazamani humzuii

ma x wamekua wana maana sana aisee,,,binafsi km uyu akija jjn najua mepona njaa ya kusubir mshahara kwa hulka na jazba,,hahaha
 
atakuja kukuambukiza ukimwi ndiyo maana amekupa hela yakujitibia baadaye utakapo kuwa umesha ambukizwa ukimwi . kama amekupa pesa ushauri wangu akija usimgegede kwani anaukimwi huyo kimbia
tehe teheee,,,sawa mkuu akija tampima kwanza au tutaona utaratb wa rough rider
 
wasalam wana mmu
wikiend iliyopita j,mos niliona nkajiliwaze club baada ya msongo wa mawazo ya kuhis naibiwa,,,nikakutana na washkaj zangu tuliomaliza nao chuo kwel nikapata god tym ingawa kwa muda,,
kilichonifanya niseme il ni baada ya kuamka j2 sina ela nkaona kuna x wangu anakaa mkoa karib na nlipo nimpige kibom,,,ameolewa ana mwaka sasa,,cha kunshangaza ni kua aliniambia anantumia ila kwa shart la akija nilipo nxt month lazma nimlipe kwa kumgegeda!,,,duu coz nlikua pagum nkasema sawa nipate mpunga ila kilichonishangaza ni shart la binti mrembo uyu,,,
jaman mliooa embu wagegeden wake zenu msiwafanyie fair play wanatusumbuaa!!!!

Una miaka mingapi? Ilimaliza chuo gani? Sasa we mshkaji wa kiume kabisa huoni hata aibu kuja kusema hapa kuwa umemwomba mwanamke hela? Si tunakemea tabia ya wadada kupiga mizinga afu we mwanaume unapiga mzinga hebu angalia mzunguko unamwomba hela demu yeye anamwomba mume wake/ figa la pili, figa la pili anakuja hapa kulalamika mke wa mtu anapiga mizinga hovyo ilihali ameolewa
 
thts hw it goes,,,
 
wasalam wana mmu
wikiend iliyopita j,mos niliona nkajiliwaze club baada ya msongo wa mawazo ya kuhis naibiwa,,,nikakutana na washkaj zangu tuliomaliza nao chuo kwel nikapata god tym ingawa kwa muda,,
kilichonifanya niseme il ni baada ya kuamka j2 sina ela nkaona kuna x wangu anakaa mkoa karib na nlipo nimpige kibom,,,ameolewa ana mwaka sasa,,cha kunshangaza ni kua aliniambia anantumia ila kwa shart la akija nilipo nxt month lazma nimlipe kwa kumgegeda!,,,duu coz nlikua pagum nkasema sawa nipate mpunga ila kilichonishangaza ni shart la binti mrembo uyu,,,
jaman mliooa embu wagegeden wake zenu msiwafanyie fair play wanatusumbuaa!!!!

Kukumbushia mhimu dogo piga machine hiyo.
 
Tunawagegeda sana ase.... sema hawasikii sijui migegedo.... "tumechoka sasa namuwagegede tuu"
 
Tatizo letu huwa hatujiulizi swali muhimu wakati tunataka kuoa ' je ninaye muoa alishakuwa na uhusiano na wanaume wangapi? na je ataachana nao wote?
Tatizo wengi wao si wa kweli kama ilivyokuwa pia kwa wanaume wengi. Cha msingi kabla mtu hujaingia katika ndoa ni vizuri kumwomba sana Mungu akusaidie kupata anayefaa kuwa mama au baba wa watoto wako. Ni mtihani sana siku hizi mkuu.
 
Mwanamke wa kuoa huandaliwa sasa kama mkitaka mapenzi ya kizungu eti tulionana club au sehemu ya starehe, kesho yake baby nataka nikuoe shaulilo.

Tatizo wengi wao si wa kweli kama ilivyokuwa pia kwa wanaume wengi. Cha msingi kabla mtu hujaingia katika ndoa ni vizuri kumwomba sana Mungu akusaidie kupata anayefaa kuwa mama au baba wa watoto wako. Ni mtihani sana siku hizi mkuu.
 
wasalam wana mmu
wikiend iliyopita j,mos niliona nkajiliwaze club baada ya msongo wa mawazo ya kuhis naibiwa,,,nikakutana na washkaj zangu tuliomaliza nao chuo kwel nikapata god tym ingawa kwa muda,,
kilichonifanya niseme il ni baada ya kuamka j2 sina ela nkaona kuna x wangu anakaa mkoa karib na nlipo nimpige kibom,,,ameolewa ana mwaka sasa,,cha kunshangaza ni kua aliniambia anantumia ila kwa shart la akija nilipo nxt month lazma nimlipe kwa kumgegeda!,,,duu coz nlikua pagum nkasema sawa nipate mpunga ila kilichonishangaza ni shart la binti mrembo uyu,,,
jaman mliooa embu wagegeden wake zenu msiwafanyie fair play wanatusumbuaa!!!!

Achana na tabia Za kuomba wake Za watu pesa. Mwanamume lazima uChakalike.
 
wasalam wana mmu
wikiend iliyopita j,mos niliona nkajiliwaze club baada ya msongo wa mawazo ya kuhis naibiwa,,,nikakutana na washkaj zangu tuliomaliza nao chuo kwel nikapata god tym ingawa kwa muda,,
kilichonifanya niseme il ni baada ya kuamka j2 sina ela nkaona kuna x wangu anakaa mkoa karib na nlipo nimpige kibom,,,ameolewa ana mwaka sasa,,cha kunshangaza ni kua aliniambia anantumia ila kwa shart la akija nilipo nxt month lazma nimlipe kwa kumgegeda!,,,duu coz nlikua pagum nkasema sawa nipate mpunga ila kilichonishangaza ni shart la binti mrembo uyu,,,
jaman mliooa embu wagegeden wake zenu msiwafanyie fair play wanatusumbuaa!!!!

Ulihisi unaibiwa nini?? Kama ni demu, je, wewe humgegedi roughly? Unamfanyia fair play ndio maana unahisi wizi wizi??
 
Tabia za binadamu huathiriwa na malezi na tabia za kurith toka kwa wazazi.unayoyafanya sasa si mageni mama au baba alikwisha fanya naaam nawe unafuta nyayo.
 
Back
Top Bottom