Hivi nyie wanawake mna shida gani?

Hivi nyie wanawake mna shida gani?

heeee!:evil::evil::evil::evil::evil::evil:
😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:
hapa ni pasupasu hutaki?
 

Attachments

  • 1391685954903.jpg
    1391685954903.jpg
    54.6 KB · Views: 204
heeee!:evil::evil::evil::evil::evil::evil:
😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:

hutaki?
 
Ukiona kiatu kinakuvuka ujue sio saizi yako, mtoto wa kiume kulia lia hadi povu linakutiririka aibu sana.
 
hutak kugaramikia waache wanaojiweza jmn wala usilalamike
 
Kama huna hela sasa mwanamke wa nini? jichue tu uendelee kuharibikiwa kisaikolojia. Nani anataka mwanaume aje na mpangilio wa matatizo badala ya furaha.
 
ama kweli wanaume wa kileo majanga.............
sasa wewe unalalama kuombwa hela ya kodi na vocha?? hebu waulize waliokutangulia wameinvest kiasi gani kwa wenzi wao??

kimsingi wa moja havai mbili sasa wewe kaa pangu pakavu tia mchuzi
ama mambo yako tia maji tia maji
basi tafuta wa hadhi yako.
 
tatizo lenu mnajitutumuaga kujidai mapedeshee wakati pesa za mawazo...hiyo inakuwaga ni mitego tu kukuona ukoje basi...msipende kujitutumua jamani mtachunwa hadi ngozi shauri yenu...
 
kila kizur kina gharama yake so kuna mambo lazima uyakubal tu
 
Wewe huna cha kuniumizia mbona! Acha kulialia.

mwambie wazi kwamba mwanaume asoweza kuwalinda wa karibu yake basi huyo si mwanume............

wahenga walisema


'shona kanzu kadiri ya kimo chako'

hivyo asishobokee wasokuwa hadhi yake,

mtu mzima anapanga nyumba ya mganga halafu anaogopa kunuka uvumba...............
nashanga''''''''''''
 
wanabaki kulalama tu humu mjengoni
usikimbilie matawi ya juu kuyafakamia kama karanga
halafu unakuja jijutia mwenyewe eti wanatuomba helaa
nasi tuna wazazi wakuwalea mm yanihuuuu!
ukitaka kunilea shurti unigharamikie kwanza kisha ndo
mpango mzima wa ndugu na jamaa zako upo hapo
hhheeeeeeeeeeeeiya mtachunika mpaka mtoboke
 
Nikweli kabisa, imekuwa biashara kama changudoa .wasajili kabisa kama ni biashara na walipe kodi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom