"E="kuku mweus, post: 28068553, member: 490171"]Wataanza kutoa kejeli kama hawatakua wanashirikishwa
Afu kibaya wengi ni wajita majungu tupu
Hasa yule Mwalimu aliye ipandisha, japo amepewa nafasi katika bench la ufundi, lakini anaonekana hakubaliani na hilo, asipo dhibitiwa ataanza kuingilia...