Nimempa mimba dada fulani najuta kuzaliwa!

Endelea kujuta. Kufa hufi cha moto utakiona!
 
Kwanini hukutumia kondom??!! Hakuna namna inabidi uubebe tu msalaba wako
 
"...Kila jambo lina matokeo yake..."
Shekhe Yahya
 
Ni afadhali uoe huyu uliyemmimba . Si vyema zao lako la kwanza likawa Haramu.
 
Mdada ameona opportunity kaitumia, kama movie ya nigeria...na huwa haziishi vizuri muvi hizi:
1. Mwanaume analaniwa na msichana wa kwanza baada ya kumuweka kwenye expectations na betrayals.
2. Unaamua kuoa huyo mwenye mimba kisha maisha yako yote hayana raha unaanza kuchepuka
3. Ndoa inawashinda nyote mnabaki miserable watoto wanahangaika.

Kama huna haja na mwanamke tumia Condom. Sijaona mahala ukisema mkaenda kupima ukamwambia ale dawa mgegedane. Huu mchezo wa kulishana dawa kabla hamjazaa mnasababisha wasichana wengi siku hizi washindwe kupata watoto.

Be careful.. anza kutafuta jinsi ya kueleza msichana wa kwanza muachane kwa amani or ealse hutakuwa na raha maishani kabisa...
 
Dada unanitisha[emoji17]
 
Kuwa muwazi kwa menzio akirejea, tumia watu wazima anaowaeshim muombe msamaha ili iwe rahisi kumpokea na kumlea mwanao.. Kama anakupenda kweli atakuelewa tu japo sio kirahis ila atakuelewa
 
Back
Top Bottom