Recent content by mtii

  1. M

    JamiiForums Tanzania PINDA: Ukiwa mkaidi usilalamike pale kichapo kitakapokufikia

    Hawezi kushangaa maana hata yeye asingevumikia upumbavu wa watu wachache wenye kuongea majukwaani kuvuruga amani ya nchi kwa mgongo wa siasa na kivuli cha demokrasia.
  2. M

    JamiiForums Tanzania PINDA: Ukiwa mkaidi usilalamike pale kichapo kitakapokufikia

    Nadhani hii ndio ilikua maana sahihi ya Mh Pinda. Huwezi kuwekewa sheria ukavunja then watu wakubembeleze kutii, lazima watu waache ujinga na unafiki. Ukiwa na mtoto ukamuonya asifanye jambo then akang'ang'ania kulifanya utamuadhibu ili ajue umechukia kitendo chake. Sasa serikali inaposema watu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Masanja: Nimevuna mpunga ekari 15 Mbarali Estate - Mbeya

    Silly comment! Hujui chochote kuhusu KIKIMO wewe, you better watch out how you think.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Umiliki wa Ardhi; Rasimu imekaa Kimya

    Ndio ushuzi wa hiyo rasimu. Inaacha mwanya kwa baadhi ya mambo muhimu kuja kutumiwa hovyo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Kwa ujumla wamefanya kazi nzuri sana, niwapongeze sana kwa uchambuzi makini pamoja na vikwazo walivyopambana navyo ila wamefanya kazi njema, mapungufu hayakosekani ndio maana itajadiliwa tena na bunge la katiba ili kuiweka sawa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tishio la Ugaidi Bungeni: Wabunge watakiwa kutoegesha magari karibu na Ukumbi wa Bunge

    Meno na kucha kungo'olewa bila ganzi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sugu, mchumba wake na mtoto wao wakihamasisha utalii wa ndani.

    Kiongozi mzuri maneno yaje na matendo huendana, preach what you practice my friend
  8. M

    JamiiForums Tanzania UDSM uchaguzi wa Rais na makamu wake wapamba moto

    hahaha.duh
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi tena wanaume basi!

    hahaha,kweli mpe nyeupe:D
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kunifuta machoz

    Nipo hapa, ni inbox # yako
  11. M

    JamiiForums Tanzania TCU: Darasa la saba sasa kujiunga na chuo kikuu moja kwa moja

    harufu Uliyonusa ni Sahihi kwani Kuna Watu wanataka kupachikwa Ubunge 2015 nakisha uwaziri lakini hawana Uwezo na katiba ijayo Itawabana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hofu ya ugaidi: Ibada ya mkesha wa pasaka kuanza saa 11 jioni!;

    Chanzo cha habari ulete co kutuaminisha umbea kama wake wenza au mashoga
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hi ndiyo ilikuwa tofauti kubwa aliyoigundua Nyerere kati ya Mkapa na Kikwete mwaka 1995

    Umesahau pia kafanikisha mfumuko wa bei wa double digits, maisha kuwa magumu na tofauti kubwa kati ya masikini na tajiri.
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Releases About Raila Odinga

    It's merely nonsense.
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yeye mke wa mtu mi mme wa mtu lakini.......

    Hebu muhadithie mkeo hii story then atakupa ushauri.
Back
Top Bottom