Tingitane
Senior Member
- Apr 18, 2012
- 116
- 132
Wanajamii naombeni mtizamo wenu kwenye hili:
Mim ni kjana nimeoa na nina mtoto 1 na ninafanya kazi serkalin, sasa ofisin kwetu kuna mdada kaolewa kwa sasa ana watoto 2 na huyo mtoto wa pili hapishani sana kiumri na mwanangu.
Wakati nafanya mipango ya harusi alikuwa ananitania sana pale ofcn mara naona sku hiz umechange muondoko au ndo kwa ajil ya haruc japo mim binafc naamin hapakuwa na changes zozote na mambo mengine mengi.
Sasa imeenda hiyo sku moja nikawa naongea nae nikagundua katika masomo yake tumewahi kusima chuo kimoja lakin 4 ze tim b hakuna aliyemjua mwenzake.
Mim nikawa namtania ningeona enz hizo ulivyokuwa m..... Sema tu unabahati nilichelewa.
Sasa tumeenda mpaka hivi majuzi kama utani ananiambia twende lunch mim nikachukulia kawaida kama tufanyavyo sku zingine japo sku tulikuwa wawili tu.
Ila sehemu aliyonipelka ndo ilinipa masha manake tulijikuta tunaruka mipaka ambayo niliskitika sana.
Sasa ananinishangaza mara ananiambia nisitembee mbele yake at muondoko unam.... Mara ananiambia habari za asubuhi mpenzi wangu. Sjui nyinyi waungana mnalionaje hil mim binafc nimejipanga kuyashinda haya ila nimelileta kwenu kwa ushauri zaid na kwa sababu ni story ndefu niishie hapa nisiwachoshe.