Hofu ya ugaidi: Ibada ya mkesha wa pasaka kuanza saa 11 jioni!;

Status
Not open for further replies.
au ndiyo wameanza kuwaandaa waumini ili wamuondoe kikwete madarakani?

Mkuu nakuomba uondokane na fikra mgando hakuna mtanzania hata mmoja anayetamani kumwondoa Kikwete madarakani kinyume na katiba, tunapoongelea masuala nyeti ya kitaifa ni heri ukaazima hata kwa jirani maana kwa muono wangu naona we busara zako ziko very shallow.
 
ndio waliochoma moto makanisa Mbagala na Unguja?
Na ndio waliompiga risasi
padre na kumuua Unguja?
Na pia kumpiga risasi na kumjeruhi padre mwingine huko huko unguja?
Na ndio hao walioleta vurugu na kusababisha mauaji ya mchungaji Geita kwa sababu wakristo kutaka kuchinja kitoweo chao?
Ndio waliomtuma Sheikh Ilunga asambaze kanda za kuhamasisha mauaji dhidi ya viongozi wa kanisa katoliki?
Na ndio hao waliohamasisha wale jamaa waandamane kituo cha polisi kizuiani wakishinikiza kuachiwa mtoto wa miaka12 aliyetuhumiwa kukojolea kuran?
Nijibu hayo halafu tuendelee na mjadala

Mpaka sasa Hayo matukio hakuna aliyekamatwa kwa ushahidi uliokamilika....

Kwa hiyo dhana zipo nyingi sana...
Moja ya dhana ni kwamba Lwakatare ameshiriki katika matukio mengi hadi huko zanzibar...time will tell
 
ccm na waislam kwa hivi sasa ni mavi na inzi,hivyo magaidi ni wote

Kwa hiyo unataka kutuambia waislamu ni Nzi ....
CCM ni MAVI ?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kuhusu CCM ..wahusika watakujibu wenyewe....

Kuhusu waislamu....Nzi mwenyewe na Mchungaji wako aliyekutuma Kuja kututukana
 
Ndugu wanajamvi, salamu.

Kutetereka kwa hali ya amani ya nchi yetu Tanzania kunakotokana na tetesi za uwepo wa vikundi vya kigaidi vya siasa kali za kiislamu vinavyodaiwa kupanga kufanya mashambulizi kwenye makanisa mbalimbali wakati wa sikukuu ya pasaka, makanisa mbalimbali yamewatangazia waumini wao watakaohudhuria misa ya mkesha wa pasaka kuwa misa hizo zitaanza kati ya saa 11 jioni na saa 1 badala ya saa 3 usiku kama ilivyozoeleka miaka yote.

Kanisa katoliki jimbo kuu la Mwanza kupitia mahubiri ya jana jumapili limewaelekeza waumini wake walioko kwenye vigango kuanza misa saa 11 na wale wanaosali parokiani kuanza misa saa 12 ili kufikia saa 3 usiku shughuli ya ibada iwe imekamilka. Pia waumini wametakiwa kuchukua tahadhari kwa kitu au mtu yeyote wanayemtilia mashaka.

Vilevile waumini wa kikristo wametakiwa kufunga kwa siku saba na kuliombea taifa na kwamba silaha pekee ya mkristo awapo kwenye nyakati ngumu za mateso ya kiimani ni kufunga na maombi.MY TAKE; Serikali ya CCM inajisikiaje kwa haya yanayoendelea nchini?, nauliza hivyo kwa kutambua kuwa mbegu hizi za udini na ukabila zimepandwa na wanasiasa wake huku serikali hiyohiyo ikitoa vibali kwa wahubiri wa dini moja kuzunguka nchi nzima kueneza chuki dhidi ya ukristo na baba wa taifa Mwl.

Nyerere huku wakikishambulia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA. Nasema wahubiri hao walipewa kibali kwasababu polisi walikuwa wakilinda mihadhara iliyokuwa ikifanyika viwanja na kumbi za wazi. Miongoni mwa kauli zilizokuwa zikitolewa katika mihadhara hiyo ni hii; " KUFA KUPONA TUTAHAKIKISHA UKATOLIKI UNANG'OKA MIZIZI YAKE TANZANIA".

Ebu fikiria kauli kama hiyo inatolewa mbele ya polisi na usalama wa taifa ndani ukumbi wa Diamond Jubilee halafu watu hao wanaendelea kuzunguka mikoa mingine kueneza hayohayo, serikali haichukui hatua, maana yake ni kuwa tutaamini viongozi wakuu wa chama na serikali inayotawala wapo nyuma mpango wa wahubiri hao na wana baraka zote za mkuu wa nchi na vyombo vya ulinzi na usalama vina taarifa ya kutokuwachukulia hatua zozote wahusika.

Leo tumefika hapa kwa mbegu hizi zilizopandwa chini ya usimamizi wa watawala, na huenda hali ikawa mbaya zaidi kwani watawala hawaonekani kuchukua hatua stahili ingawa ni kweli kuwa hawawezi kuchukua hatua stahili kwa jambo waliloliunda kwa maslahi ambayo mpaka sasa nashindwa kuyatambua.

WITO; CCM na serikali chini ya Jakaya Kikwete, hili jambo mmeliasisi wenyewe kwa malengo mnayoyajua, mlitatue na mlimalize ili nchi yetu ibaki salama. Mungu ibariki Tanzania.

Nilikuwa na mazoea ya kuwatembelea marafiki zangu ambao wengi ni Wakristo wakati wa Pasaka na sikukuu nyingine za Kikristo. Nilikuwa na mazoea ya kutoka na familia yangu wakati wa sikukuu hizi kwenda beach kupunga upepo kusheherekea. Taarifa hii imenitia mashaka sana. Ntahakikisha nimejifungia ndani siku hiyo na sintoruhusu familia yangu itoke kwani taarifa inahashiria hali ya hatari. Vile vile kwa sababu mimi ni muislamu na wenzetu wameshajipanga kumtilia mashaka mtu anayeonekana muislamu kwenye sherehe zao basi nisingependa kuingia kwenye matatizo hayo kwani madhara yake yanaweza kuwa makubwa kuliko mtu anavyotegemea!!!!!!
 
Ndugu wanajamvi, salamu.

Kutetereka kwa hali ya amani ya nchi yetu Tanzania kunakotokana na tetesi za uwepo wa vikundi vya kigaidi vya siasa kali za kiislamu vinavyodaiwa kupanga kufanya mashambulizi kwenye makanisa mbalimbali wakati wa sikukuu ya pasaka, makanisa mbalimbali yamewatangazia waumini wao watakaohudhuria misa ya mkesha wa pasaka kuwa misa hizo zitaanza kati ya saa 11 jioni na saa 1 badala ya saa 3 usiku kama ilivyozoeleka miaka yote.

Kanisa katoliki jimbo kuu la Mwanza kupitia mahubiri ya jana jumapili limewaelekeza waumini wake walioko kwenye vigango kuanza misa saa 11 na wale wanaosali parokiani kuanza misa saa 12 ili kufikia saa 3 usiku shughuli ya ibada iwe imekamilka. Pia waumini wametakiwa kuchukua tahadhari kwa kitu au mtu yeyote wanayemtilia mashaka.

Vilevile waumini wa kikristo wametakiwa kufunga kwa siku saba na kuliombea taifa na kwamba silaha pekee ya mkristo awapo kwenye nyakati ngumu za mateso ya kiimani ni kufunga na maombi.MY TAKE; Serikali ya CCM inajisikiaje kwa haya yanayoendelea nchini?, nauliza hivyo kwa kutambua kuwa mbegu hizi za udini na ukabila zimepandwa na wanasiasa wake huku serikali hiyohiyo ikitoa vibali kwa wahubiri wa dini moja kuzunguka nchi nzima kueneza chuki dhidi ya ukristo na baba wa taifa Mwl.

Nyerere huku wakikishambulia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA. Nasema wahubiri hao walipewa kibali kwasababu polisi walikuwa wakilinda mihadhara iliyokuwa ikifanyika viwanja na kumbi za wazi. Miongoni mwa kauli zilizokuwa zikitolewa katika mihadhara hiyo ni hii; " KUFA KUPONA TUTAHAKIKISHA UKATOLIKI UNANG'OKA MIZIZI YAKE TANZANIA".

Ebu fikiria kauli kama hiyo inatolewa mbele ya polisi na usalama wa taifa ndani ukumbi wa Diamond Jubilee halafu watu hao wanaendelea kuzunguka mikoa mingine kueneza hayohayo, serikali haichukui hatua, maana yake ni kuwa tutaamini viongozi wakuu wa chama na serikali inayotawala wapo nyuma mpango wa wahubiri hao na wana baraka zote za mkuu wa nchi na vyombo vya ulinzi na usalama vina taarifa ya kutokuwachukulia hatua zozote wahusika.

Leo tumefika hapa kwa mbegu hizi zilizopandwa chini ya usimamizi wa watawala, na huenda hali ikawa mbaya zaidi kwani watawala hawaonekani kuchukua hatua stahili ingawa ni kweli kuwa hawawezi kuchukua hatua stahili kwa jambo waliloliunda kwa maslahi ambayo mpaka sasa nashindwa kuyatambua.

WITO; CCM na serikali chini ya Jakaya Kikwete, hili jambo mmeliasisi wenyewe kwa malengo mnayoyajua, mlitatue na mlimalize ili nchi yetu ibaki salama. Mungu ibariki Tanzania.

Mbwa Mwoga hupiga MAYOWE akiwa miguuni mwa Bwana wake.
Wale walioanza kuimba wimbo huu wanaongozwa na HOFU ya kufa kwa kuwa wanaipenda DUNIA kuliko kingine. Ni kwa sababu ya kukithiri Madhambi ndio maana wanaogopa kufa.

Hakuna hofu ya Ugaidi wala ya watu wanaokusudia kuchoma makanisa. Ni aibu ya mwaka kusikia habari hiyo!!
Wala habari hiyo haijatoka kwenye vyombo vya usalama. KILIO CHA MBWA MWOGA!
 
Mkuu nakuomba uondokane na fikra mgando hakuna mtanzania hata mmoja anayetamani kumwondoa Kikwete madarakani kinyume na katiba, tunapoongelea masuala nyeti ya kitaifa ni heri ukaazima hata kwa jirani maana kwa muono wangu naona we busara zako ziko very shallow.

Rejea Tangazo la Maaskofu la hivi karibuni.
 
Ilunga anaposema mfumo kristo anataka mfumo islam ambao haumtaki asiwepo aliye kinyume chake yaani uhuru wa kuabudu. Kwa sasa ilunga na wenzake wanaouhuru wakuchochea kwa sabab ya upendo uliopo wa mfumo wa uhuru wa ukristo. La msingi ni kwamba Mungu wa Wakristo siyo dhaifu wa kulindwa kwa mawe atawalinda WATU WAKE na kila shetani na mtu mbaya

Wewe usilete kichekesho hapa jamvini.

"Alipoona kunakaribia kupambazuka Mungu akasema Niachie ewe Israeil maana umenivunja paja. akasema sikuachii mpaka unibariki".

Eloi Eloi lamasabaktaan??. Mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha?.

Amelaaniwa yeyote aangikwae Mtini!!!

mwenzenu mbavu sina!!!
 
kwetu tunasali kama kawaida!

Tumeagizwa hivyo na kwa mujibu wa mwongozo wa ibada zetu. Hatuwezi kubadili muda kwa ajili ya kuogopa mbwa koko tu. VIWAWA tumeagizwa tuweke ulinzi wetu wenyewe pamoja na kwamba Policcm nao wameahidi kutoa ulinzi lakini hatutawaamini 100%. Tutashika doria wenyewe kwenye vichochoro vyote na ole wake tutakayemkamata, siku hiyo YESU tutamweka kwenye mti kwanza halafu tukimaliza kuwashughulikia ndo tunamrudia Pamb..ff kabisa wamekuwa akina nani kutishia usalama wetu?

Litakalokuwa na liwe!!
 
Usiweke utani kwenye maisha ya binadamu wenzako,hata kama unafaidika na hali ya udini iliyopo,basi ni bora unyamaze.Maana kuna baadhi ya statement zinatia maudhi,hasa kwa waathirika wa masuala ya udini.

Kwani Lwakatare mekamatwa kwa kosa gani? Mi nadhani wakristo wawe na hofu na watu kama lwakatare ambao ni watuhumiwa wa ugaidi tena wakristo wanaoweza kwenda kanisani wakijifanya wanaparticipate katika sala kuliko hao magaidi "Majina"
 
Hakika hao wanaotengeneza hiyo chuki wanamalipo mabaya mbele za Mungu. Mie siamini kama ni kweli matangazo hayo yamefanywa na viongozi wa dini, tena eti kanisani?
Wewe utakua mjinga namba moja kama hilo hujalijua, maybe unafurahia vifo wanazozifanya...
Jamani propaganda hizo hazitupeleki kuzuri ebu tuachane nazo. Acheni kutuvuruga watanzania kwa malengo yenu machafu. Nani kasema waislam wana ugomvi na wakristo? jamani jamani mbona hatuuoni huo ugomvi nawakati wanaishi pamoja mpaka sasa? mbona hatusikii kuwa eti mtaa fulani sinza waislam na wakristo wamezichapa? jamani jamani acheni hizo. Hizi propaganda za kutugawa na kuwafanya wakristo wasisherehekee ibada yao kwa furaha si nzuri. Propaganda za kijinga. Tuuache huu ujinga wa propaganda na kuamsha chuki miongoni mwa wanajamii zisizokuwepo. Mie ningekuwa nikiongozi lazima hawa viongozi waliowahofisha wananchi kwa taarifa hii ningewakamata wakajieleza, kwani wanatutangazia kuwa serikali imeshindwa kutulinda.
Kawaambie watu wa kwenu...IDIOT
 
ee Mungu watetee watu wako.
........tutavumilia hadi lini eee Bwana wa Majeshi?
 
Ndugu wanajamvi, salamu.
Kanisa katoliki jimbo kuu la Mwanza kupitia mahubiri ya jana jumapili limewaelekeza waumini wake walioko kwenye vigango kuanza misa saa 11 na wale wanaosali parokiani kuanza misa saa 12 ili kufikia saa 3 usiku shughuli ya ibada iwe imekamilka.
.MY TAKE; Serikali ya CCM inajisikiaje kwa haya yanayoendelea nchini?, nauliza hivyo kwa kutambua kuwa mbegu hizi za udini na ukabila zimepandwa na wanasiasa wake huku serikali hiyohiyo ikitoa vibali kwa wahubiri wa dini moja kuzunguka nchi nzima kueneza chuki dhidi ya ukristo na baba wa taifa Mwl.
WITO; CCM na serikali chini ya Jakaya Kikwete, hili jambo mmeliasisi wenyewe kwa malengo mnayoyajua, mlitatue na mlimalize ili nchi yetu ibaki salama. Mungu ibariki Tanzania.
Wewe ni chuki tu na huna lolote kama mliwachokoza kwa kuwashambulia baada ya kuchinja na kuweka Buchani bila kusali ili msali wakati wa kula hii IMEKULA KWENU
Mimi ni Mkristu na tuna sala ya Mkesha hapa Dodoma usitutishe

km ni Ugaidi tumeshawakamata na tutawakamata hao wenzake na Lwakatare na ww ukiwemo mambo ya UDINI acha haihusiani na CHADEMA wala CCM au PADRI au SHEIKH

hizi ni tetesi zinazovuma kama moto wa nyikani kuwa baada ya wakuu wa kanisa kukosa uhakika wa ulinzi toka kwa jeshi la polisi katika mkesha wa ibada ya pasaka ambao kwa kawaida hua unaanza saa 4 usiku, sasa wameazimia kuzifanya ibada hizo majira ya saa 11 jioni ili kupunguza hatari ya vitisho vya kushambuliwa na magaidi wanaodaiwa kuja ktuoka mombasa kwa azma ya kuwashambulia na kuwaua pamoja na kuchoma makanisa ya wakristo.hizo ndio taarifa zinazovuma mjini kwa sasa.more updates as they flow from the stream.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom