Nashukuru mtoa mada amesema hakumbuki mara ya mwisho yeye alivaa saa lini, kwa lugha rahisi huo ni mtazamo wake mbadala kuhusu matumizi ya saa na ieleweke hivo, ahsante mfianchi maana nilichotaka miasma tayari umenitangulia, uungwana ni kitendo kwa muelewa ataelewa; hapa nina gear ya Samsung pia...
Majibu hayo kwa mujibu wa Ufoo, yalisababisha daktari huyo aombe kuletewa gari la wagonjwa la wagonjwa maarufu (VIP) ambalo lililitwa na muda mfupi baadaye akapakizwa tayari kwa safari ya kukimbizwa Muhimbili.
"Kuishi kwingi kuona mengi" na kupitia tukio la Ufo nimejifunza kitu kipya yaani...
Ulitegemea nini kumkana mpenzi wako mbele ya bosi wako?? Mi sikuonei huruma sababu unaonesha ni mtu wa tamaa!! Acha ukose vyote ndo unachostahili!!!!
Seems hauna msimamo au hata hiyo kazi uliipata kwa kubebwabebwa tu, niliwafundisha hata vijana wa FB kuwa mwanaume kukosa msimamo ni dhambi...
Na ww mwanaume mzima unaandika unafiki humu huna aibu ww! Seems hujielewi ila nakukumbusha kuwa kila mwanaume/ mwanamke aliye ktk kipindi muafaka cha kushare mahusiani ya future ana hekima yake inayomuongoza kwenye suala zima la kufanya maamuzi; hiyo thread yako labda wapelekee wavulana siyo...
Mh! Kweli dunia haina usawa, sasa ajabu hili gari ambalo wenyewe JF mnaliona la thamani zaidi bado halitii mguu kwa Bugatti Veyron Sport lenye thamani ya zaidi ya $250,000
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
WanaJF eleweni jambo yaani hakuna binadamu ambaye thamani ya uhai wake ni zaidi ya mwingine, naona kwa taarifa hii wengi mnasema R.I.P Grace Mbowe pekee ikiwa waliokufa ajalini ni watatu zaidi acheni matabaka kisa status ya mtu kabla. Poleni waTanzania wenzangu kwa kufikwa na msiba huu
Hao mnaowajadili hayo nd o mama zenu, dada zenu na hata mabinti zenu tena ambao tayari wamekua na siku zao wanaziona, tafakari una akili ww kumjadili mtu ambaye kijamii anakuhusu? Au ww ulizaliwa na nani kama cyo mwamamke? Tena futeni hiyo kauli tasteless coz hata ww mwanzilishi mchangiaji mada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.