Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

Ujinga huu whatsapp ni ya mtu na rafiki zake sisi hapa inatuhusu nini?

Mkuu mie Niko ktk group Fulani huko..... ndiko pia kn mastory...yote na picha ...
Najua matumizi ya mitandao....ila ktk group nakwepaje...km nimekosea nisamehe....
 
Daah..kweli domo habagui wala hachagui,jitu limeshazeeka kabisa hili...eti kimwana au libibi:A S-confused1:

hahahahaaaaa,Jimwan Minywele hilo!Ila kama kweli Platnum kagegeda hilo Mv Spice atakuwa kama Inzi,maana anapenda mpaka Kinyesi!
 
mmhhh!! diamond kweli noma!!

naona anjaribu ku-'test' ladha za machungwa mbalimbali sokoni kariakoo!!

Pesa mwanaharamu,unajua hata Mungu aliposema kuwa tajiri kuona ufalme wa mbingu ni sawa na ngamia apenye tundu la sindano,aliyajua haya ya kina diamond kuchezea dada za watu kisa tu ana hela!
 
Niko karibu na hawa watu.najuwa wanaishije,hata kama Diamond atakuwa anakulana kwa siri na Wema ni kwa tamaa tu kama wanaume wengine walivyo na tamaa
still Penny ndiye chaguo la kwanza,peny ahe is real,ni mwanamke wa kweli kabisa ni aina ya mwanmke kila mwanamme anaetaka ndoa bora lazima atakuwa chaguo lake ,Wema ni mchafu wa tabia to the maximum,Diamond hawez mwacha Penny for Wema.
Cjui kama umenielewa dada Heaven

Siku nyingine uache kujifanya unamjua sana boss wako...aya tuambie leo kama awa watu na wewe nan anaemjua zaidi boss wako?
 
Thise pics nilipiga me mwenyewena siyo kwel usemayo but unahis tu,hapo Diamond alikuwa ameungua kidole kwa maji ya mshumaa so Penny alikuwa anampoza,bahat mbaya umetizama hiyo pic moja tu.

uache tabia ya kumfuata boss wako hadi chumbani,ukishamtandikia kitanda utoke fasta...unajifanya unajua mapenzi ya watu sn kipapa wewe
 
Back
Top Bottom