Huwezi Kufanikiwa Kimaisha bila ya kuwa na mwanamke hapa duniani

True, any successful Man there is a woman behind ,but vice versa is any successful Woman there is tired Man behind...

Tafakari chukua hatuna.....
 
ni kweli lakini mafanikio ni juhudi zako mwenyewe kwa hiyo ukioa mwanamke kama huna kazi utapata wapi mafanikio
 
Kufanikiwa au kutofanikiwa halina uhusiano wowote na jinsia. Kinachotokea ni wewe mwenyewe kuamua ni jitihada na mbinu gani unaweza kutumia kwenye kukimbizana na maisha ili kufanikiwa. Na hakuna mtu yeyote anayefanikiwa au kutofanikiwa bila ya kuhusisha na watu wengine. Kwahiyo ni wewe kutumia akili yako na ujuzi wako kujua utajichanganya vipi na watu sahihi ili upate mafanikio.
 
Swala hili la kwamba huwez kufanikiwa bila mwanamke mm na dhani inategemea wala sio kweli wanaume wote wamefanikiwa sababu ya wanawake, mbona adamu alishindwa kuendelea kuishi bustani ya edeni kwa starehe sababu ya eva? eva alikuwa source ya kuharibika kwa maisha ya adam bustann
 
Uko sahihi,na yeyote anayepinga hoja yako huyo mke hana,au kama anaye basi ni mwanamke anayekuwa wa kwanza kulala na wa mwisho kuamka
 
ukweli mtupu maandiko yanasema mwanamke ni msaidizi wa mumewe, sasa inamaana asiyeoa hana msaidizi, ili kufanikiwa inabidi akomae sana ila aliyeoa advantage yakufanikiwa ni kubwa.
 
Wanasema ni heri ukosee kujenga kuliko kolukosea kujenga, a woman is a double edge sword! heading yako inaweza kuwa kweli au hapana
 
Back
Top Bottom