Recent content by mtendakazi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa Maadili ya Madaktari wakati wa Migomo

    nimeamka asubuhi na mapema na kuwasiliana na baadhi ya rafiki zangu ma dr. nikiwauliza hayo tuliyoyaona jana nini maana yake? wengi wao hawana jibu lililonyooka coz wote wanasema TUMEWASIRITI WENZETU na wao wameamua kuuza heshima yao na kuidhalilisha taaluma kwa sababu ya NJAA. Binafsi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa CV

    kaka nenda ka google zipo nyingi tu utapata. then watu wengine bana wasiposema upuuzi wao wa jokes siku hiyo hawatalala, kama una msaada u beta kip silence.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka ni unafiki, ujinga na upumbafu uliokithiri!

    mkuu kati ya wtz wenye chembe ya ukweli na wewe upo! kimsingi tatizo kubwa linalokwamisha juhudi za maendeleo ktk nchi yetu ni UMASIKINI WA AKILI huo unaouita upumbavu, unafiki na ujinga uliokithiri! siku zote tumeishia kuandika maneno mengi, kujidai kwa lugha za madaha na kujiona wajuaji wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tukijaribu hili hatutafika?

    Wana jamii nimekuwa nikiwaza jambo hii la kila influencial figure, wasomi, waganga wa kienyeji, wanamziki n.k kutaka kuwa wanasiasa katika nchi yetu, hali inayopelekea kuzorotesha maendeleo ya nchi. watazame wahandisi wetu watazame madaktari wetu watazame wachumi wetu watazame wanasheria...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tukijaribu hili hatutafika?

    Wana jamii nimekuwa nikiwaza jambo hii la kila influencial figure, wasomi, waganga wa kienyeji, wananziki n.k kutaka kuwa wanasiasa katika nchi yetu, hali inayopelekea kuzorotesha maendeleo ya nchi. watazame ma ingeneeear wetu watazame ma daktari wetu watazame wa chumi wetu watazame wana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania msaada wa mawazo.

    jamani wana jamii sina hofu kwa msaada ntakaoupata kupitia forum hii wa kimawazo ili niondokane na changamoto inayonikabili kwa sasa. kwa kifupi iko hivi mm ni mwejeji wa mkoaX, nina ndugu wawili ambao bado wako shule za sekondari, nina mzazi mmoja tu (mama) ambaye anaishi kwenye dimbwi kubwa la...
  7. M

    JamiiForums Tanzania kwa wakazi wa moshi tu! NATAFUTA KAZI YA KUJITOLEA

    jamani kwa mkazi wa moshi anayejishugulisha au anayefanya kazi kwenye organization yeyote inayojishugulisha na ustawi wa afya ya jamii aidha katika kutoa elimu au kufanya research naomba anipe taarifa ya wapi walipo ili niweze kufka sehemu husika na kuona kama kuna uwezekano wa kupata nafasi ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Umeme wakatika, tunaomba updates za Hotuba ya Wizara ya Afya

    jamani huku kwetu tanesco wamekata umeme so we cant accsess tbc! atakaye pata hotuba ya wizara ya afya kambi ya upinzani aturushie jamvini
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    tukionekana wagumu wa kuelewa pia tumeendelea kuwa wepesi wa kusahau. Napenda kuuliza, ule mchakato wa wa kumuingiza rais Kikwete madarakani 2005 - kauli mbiu ya ccm ilikua "maisha bora kwa kila Mtanzania". Ninachokiona mimi umasikini unaotukabiri, sisi wana nchi tunaozunguka migodi ya madini...
  10. M

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi

    twenty eight
  11. M

    JamiiForums Tanzania Taaruma ninayo nimekosa fulsa naombeni msaada

    kutokana na mgomo wa ma daktari nchini na uhamuzi wa serikari kusitisha leseni za madaktari wapatao takribani 300 na baadhi yao wameanza kuondoka nchini ili kutafuta mahala wanakosamini taaruma hii mwenzeni naomba mtu atakayensaidia kupata fulsa hapa nchini katka kazi isiyo ya utabibu lakni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi

    ndugu zangu wanajamii mimi ni graduate wa udaktari katika chuo chetu cha muhimbili . kufuatia kile kinachoeendelea katka sekta ya afya wito wangu wa kufanya udaktari nchini umepotea plz naombeni mnisaidie kupata nafasi ya kazi itokanayo na taaruma yangu tofauti na kazi ya kutibu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tsh 3,500,000 Kwa Daktari wa Watanzania ni aibu!

    baada ya kusoma makara yako nimeshindwa kujizuia kwa machozi! juisho ya yote wengi ukweli wanauona achana na hao wengine wanaofikiri kwa kutumia makalio, nalipenda pendekezo la nn kifanyike? ukweli ni kwamba baada ya mateso kuzidi juu ya wana wa izrael huko utumwani misri mungu alikisikia kilio...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu chafu za serikali kuficha ukweli juu ya Dr. Ulimboka

    by living soul " KAMA MUNGU AISHIVYO, HAKI YAKE NA IHAMUE.
  15. M

    JamiiForums Tanzania WAZO LA LEO na Kutekwa kwa Dk. Ulimboka

    jamani mm sielewe mbona watanzania tunapenda kuzungumza sana? hoja zenye mashiko mnazo ila tukitangaza maandamano kupinga serikari ya kifedhuri hamjitokezi. hivi wokovu wa nchi hii utaletwa na wamisri waliolala kwenye uwanja wa taharir squire? chondechonde kesho tujitokeze uwanja wa jangwani...
Back
Top Bottom