Msaada wa CV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa CV

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Adolph Leonard, Aug 26, 2012.

 1. A

  Adolph Leonard Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 5
  A'ALEYKUM.waungwana naombeni msaada kama kuna mtu yoyote ana soft copy ya mfano wa CV anitumie ili niweze kutengeneza ya kwangu.plz nipostie kwa email hii adolphmsangi@yahoo.com natanguliza shukrani kwa msaada wowote.
   
 2. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  ndugu yaani mpaka cv we unataka copy and paste,tumia usomi wako kutengeneza ya kwako
   
 3. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  CV zinatofautiana kutokana na kada uliyosomea wewe unataka CV ya kada gani ili usaidiwe
   
 4. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Anataka kwa ajili ya sample, sidhani kama kuna ubaya
   
 5. K

  Keagan Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yan hata kugoogle umeshindwa?Mbona zipo tele?
   
 6. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  alaf hiyo cv utaitumia kuombea kazi? Sasa ikiwa cv(kujieleza kwa maandishi) upo hooooiii je kujieleza wakati wa usahiliitakuaje? Anyway wadau msaidien jamaa.
   
 7. MKANKULE

  MKANKULE JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 422
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  jamani ni suala la kumsaidia tu,kwani kuna akiyezaliwa anajua kitu, wote tulijifunza,basi tusiwe wachoyo tusadiane sio kupondana na kujiona tunajua sana.
   
 8. A

  Adolph Leonard Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 5
  Nashukuru kwa changamoto zenu,nilitaka ya mfano ila nitajipinda nitengeneze ya kwangu
   
 9. m

  mtendakazi Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka nenda ka google zipo nyingi tu utapata. then watu wengine bana wasiposema upuuzi wao wa jokes siku hiyo hawatalala, kama una msaada u beta kip silence.
   
Loading...