kwa wakazi wa moshi tu! NATAFUTA KAZI YA KUJITOLEA

mtendakazi

Member
Mar 14, 2012
26
7
jamani kwa mkazi wa moshi anayejishugulisha au anayefanya kazi kwenye organization yeyote inayojishugulisha na ustawi wa afya ya jamii aidha katika kutoa elimu au kufanya research naomba anipe taarifa ya wapi walipo ili niweze kufka sehemu husika na kuona kama kuna uwezekano wa kupata nafasi ya kujitolea mdogo wangu ambaye kitaaruma ni daktari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom