Recent content by Mtemi02

  1. Mtemi02

    JamiiForums Tanzania Yametimia: Sasa Muroto apelekwe Korokoroni aeleze ni nani alimpiga risasi Tundu Lissu

    Papara ya nini Mkuu?
  2. Mtemi02

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Hoyce Temu katika ulimwengu wa Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa

    Kwa hiyo walikata hilo ziwa au ilikuwaje Mkuu? Kwa nini hawakutata. Bange ni mbaya sana. Kikwete alijua upumbavu wa Kagame wa kupenyeza vibaraka wanyarwanda kupeleleza nchi. Alcohol akaja kumfanya best yake
  3. Mtemi02

    JamiiForums Tanzania Mbona Rais Samia akienda msikitini TV hazimuoneshi?

    Baraza la Iddi ni mkutano na haupo katika taratibu za dini. Yani mtu kutokuswali ni dhambi ila kutohudhuria Baraza la Iddi sio dhambi. In short Baraza la Iddi ni tamasha tu ambalo hata asiye Muislamu anaweza kuhudhuria, siyo Ibada
  4. Mtemi02

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania kukumbwa na rungu la FIFA?

    Shirikisho la soka la Dunia (FIFA) katika kanuni zake hukataza Serikali kuingilia masuala ya soka. Kwa maelezo ya TFF ni kuwa maelekezo ya kusogeza mbele mechi ya Simba na Yanga yametoka Serikalini kwa maana nyingine serikali imeingilia masuala ya soka directly. Na walichofanya TFF ni kama vile...
  5. Mtemi02

    JamiiForums Tanzania BAWACHA: Rais Samia asiwatambue Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama CHADEMA

    Rais ndiyo awatoe bungeni? How!
  6. Mtemi02

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Roho inaniuma nimetimiza miaka 35 sina mtoto wala maisha

    Asiye na maisha ni aliyekufa
  7. Mtemi02

    JamiiForums Tanzania Ibara ya 100 ya Katiba ya JMT imewapa wabunge Uhuru wa kujadili Hoja na Mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na Mhimili wala Mtu yeyote. Tusiwaingilie

    Yani kwa akili yako finyu mtu akikwambia "badala ya kufanya jambo hili ungefanya lile" hayo sio maoni? Au hata maana ya neno maoni huelewi? Alichokiongea Samia kuhusu bunge hata wewe unaweza kukiongea. Au unahisi sio maoni kwa kuwa aliyeongea ni Samia?
  8. Mtemi02

    JamiiForums Tanzania Leo Ramadhani siku ya tano Afande Sele bado yupo hai. Je, ni kweli Albadiri inaweza kudhuru mtu?

    Kishki baada ya kutamka maneno yale aliomba msamaha akidai alitamka kwa jazba akaomba asamehewe
  9. Mtemi02

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameingilia mhimili wa Bunge kwa hiyo ameanza kuisigina katiba waziwazi

    Kwani Katiba inaposema kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo/maoni imemaanisha maoni hayo yaisilihusu bunge? Yani Katiba imekataza kutoa maoni/mawazo kuhusu mwenendo wa bunge? Au (kwa mujibu wa Katiba) Rais haruhusiwi kutoa maoni?
  10. Mtemi02

    JamiiForums Tanzania Ibara ya 100 ya Katiba ya JMT imewapa wabunge Uhuru wa kujadili Hoja na Mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na Mhimili wala Mtu yeyote. Tusiwaingilie

    Pia katiba imetamka kila mtu yupo huru kutoa mawazo/maoni yake, hivyo katiba inaruhusu watu kutoa maoni juu ya mwenendo wa bunge Hivyo usitufunge midomo
  11. Mtemi02

    JamiiForums Tanzania Jeshi lijitathimini kuhusu uadilifu na uaminifu wake kwa Watanzania wote

    Umesema mwenyewe hapo kuwa hao wa awali kuna njia walitumia wakarejeshwa. Sasa hawa wanaleta migomo jeshini. Hawafai waasi hao
  12. Mtemi02

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kosa la Kakoko ni kuzuia mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Naona Kakoko ameamua kuunda katimu ka kumsafisha. Ulitakiwa kukanusha kwa evidence kwamba hakukuwa wa 3b pale TPA. By the way yeye sio wa kwanza kuvuliwa madaraka, hivyo tulizeni mshono
  13. Mtemi02

    JamiiForums Tanzania Urusi, China & korea kaskazini bado ni nchi za kijamaa?

    Ndiyo
  14. Mtemi02

    JamiiForums Tanzania Ili kuongeza ajira na mapato, Serikali iruhusu biashara kufanyika saa 24

    Samahani Mkuu, wewe ni jambazi?
Back
Top Bottom