Urusi, China & korea kaskazini bado ni nchi za kijamaa?

kukumsela

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
725
Reaction score
920
Naomba kufahamishwa kwamba nchi tajwa hapo juu bado ni za kijamaa?
 
Urusi sio nchi ya kijamaa pia china kwa sababu kivitendo inapisha na nchi za kijamaa.ujamaa kwenye maneno bado upo lakin kivitendo haupo.nchi ya Korea kaskazi ndo ya kijamaa hapo.
 
Naomba Thibitisha kauli yako kwa mifano mkuuu ili nipate maarifaa
 
Soma anguko la umoja wa kisoviet miaka1980s makapuni kalibu yote ya selikali yalitaifishwa kwa watu binafsi.hiki kitendo ni chakibepali.china nayo ila badili sela za kiuchumi miaka 1990s ndo imefika hapa ilipo.usisahau Ujamaa shughuri za uzalishaji zina latibiwa na selikali.nchi zati hapo Urusi na China zime kiuka kanuni hii.
 
Shukran mkuuu
 
NCHI ZOTE ULIZOTAJA HAPO BADO ZIPO KWENYE UJAMAA ULIOCHANGANYIKA NA UBEPARI

NAMAANISHA ZIPO KATIKATI YA MIFUMO HYO MIWILI .

MFANO KWENYE SUALA LA POLITICAL SYTEMS ..KWENYE UJAMAA SIO WAUMINI WA DEMOCRACY HATA UKICHEKI CHINA , RUSSIA BADO HAWANA DEMOCRACY KAMA WESTERN COUNTRIES PIA KUNA ASPECTS NYNGNE NYING
 
Kwaiyo msingi wa ujamaa ni udikteta?
 
Kwaiyo msingi wa ujamaa ni udikteta?
Of course ......coz huwa wanaamini kuwa single party system ina strengthen unity kwenye nchi ........mfano Tz tulianza kuwa na Socialism mwaka 1967 after Arusha declaration ...ulivunjika 1980s

Ambapo kulikuwa na chama kimoja tu TANU = CCM

Then hata katiba yetu ilitungwa 1977 under monoparty system that's y upinzan kushika nchi wasahau sanaaaa

Pia China up to now bado wana single part kinaitwa COMMUNIST PARTY
Coz wanaamin kukiwa na mult party kuna leta mgawanyiko kwny nchi (puppetism)
 
NCHI ZOTE ULIZOTAJA HAPO BADO ZIPO KWENYE UJAMAA ULIOCHANGANYIKA NA UBEPARI

NAMAANISHA ZIPO KATIKATI YA MIFUMO HYO MIWILI .

MFANO KWENYE SUALA LA POLITICAL SYTEMS ..KWENYE UJAMAA SIO WAUMINI WA DEMOCRACY HATA UKICHEKI CHINA , RUSSIA BADO HAWANA DEMOCRACY KAMA WESTERN COUNTRIES PIA KUNA ASPECTS NYNGNE NYING
Nafikiri North Korea bado ni pure communist state.Ujamaa uliokomaa
 
Urusi sio nchi ya kijamaa. Big tent kama rwanda ya ujamaa-ubepari mix. Nchi za kijama ni USA Ya Biden, Nigeria, Tanzania ya JKN,AHM,BWM na JK. South Korea.brazil. nchi za kikominist Ni TANZANIA YA JPM, North korea, Cuba na CHINA
 
Back
Top Bottom