Makadirio ya Ukubwa wa Muvi / Series
-Muvi za 720p zina MB 700 hadi GB 1
-1080p zina GB 1.5 hadi 2
-Series za 720p zina MB 250 hadi 400
-1080p ni MB 500 hadi 800
Kwa internet ya hapa kwetu bongo nimeona hii angalau ni nyepesi na inaokoa bando, wengi wakitumia mbinu ya apps kama utorrent muvi ya Gb 1 unakuta inatumia gb 1 na nusu, pia ukisahau kustop inaendelea kufyeka MB.
Hii njia ipo fresh.
Kuna mchezo mpya siku hizi kina mama hasa wenye nyumba za kupanga huwa wanawafundisha mabinti kujenga ukaribu na wapangaji wa kiume ili kuingia vyumbani mwao kuangalia tv, kuomba kuwafanyia usafi, kuomba kuingiziwa nyimbo au muvi, n.k. (mbinu kibao) sambamba na kuwafunza mitego ya kuwazuzua...
vibinti vingine ni miaka 16 tayari vitundu hata huko shuleni vishatembea na walimu kibao, huwa vinakodishwa ukidakwa wanapunguza na umri ili wakutaiti vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.