Recent content by Mtemakuni

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Waziri Ummy alikua pia dactrari..?? Mbona hukuwahi kuhoji..? Rais amejaribu kuweka viongozi kwenye wizara husika MTU mwenye uelewa na wizara hiyo. Na hii ni karibia wizara zote. Wewe unataka Ma Engineer au Maafisa kilimo ndio wawe ma RMO na DMO..?
  2. M

    JamiiForums Tanzania WanaChadema wanaendesha kampeni katika mitandao ya WhatsApp Magufuli ashindwe tuzo ya FORBES 2016

    Labda zipigwe kura za MARUHANI lakini Magu lazma ashinde tuu..!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

    Alivyogombea uraisi last year alikua anakidhi vigezo vya umri, means alikua na zaidi ya 40years. Sasa nyie hiyo ya 1978 mmeipata wapi..?? Angekua amezaliwa mwaka huo angekubaliwa na katiba ipi kugombea uraisi..???
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bilioni 60 zatengwa kufufua kiwanda cha matairi cha General Tyres cha Arusha

    This is a very great move..!! IDADI ya magari Tanzania inatosha kabisa kukipa soko la uhakika..!! Hapo bado nchi za East Africa na Congo. Mi nadhani kikifufuliwa halafu kikatengeneza matairi bora kama iliokua inayatengeneza hakitakua na mshindani..!! Wakitoka hapo wavifufue Viwanda vya ngozi (...
  5. M

    JamiiForums Tanzania William Lukuvi, will you make a good Tz PM?

    Hizo wizara nyingine mbona hakuonesha hayo makeke..!! we want someone who his/her performance has never been questioned..!! Prof muhongo, dr mwakyembe and mwingulu can fit this position..!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi yaja Tanzania

    Tuanze kwanza na kutengeneza vyama ( chama) vya siasa vyenye uzalendo na demokrasia ya dhati, vyenye nia ya kweli ya kumkomboa mtanzania..!! Tukifanya hivyo kweli tutafanikiwa lakini kwa maigizo yanayoendelea ni ngumu sana kutafunika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maskini Tanzania!

    Watanzania sio wajinga kama ulivyofikiria...!! Hatuwezi kumpa fisi atawale nchi..!! Mpaka upinzani utakapokua upinzani kweli na sio timu ya wasakatumbu ndo tutawachagua upinzani...:hand:
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

    Waandishi pia The Hegue inawahusu..!! Wanafikiri yule muandishi wa kenya alijipeleka..? Ngoja hayo machafuko wanayoyaombea yatokee tutawashughulikia..
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Si alisema zito hakumsaidia 2010..!! Haya tuone sasa kama anaweza kusimama na miguu yake..!! Its sad kumpoteza mnyika but he is not honest..!! So aende tu..
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Halafu wanatufanya sisi wajinga kwamba hilo hatulioni..
  11. M

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Umetumia ratio ipi..? List ya wafanyakazi wote wa NSSF inaonyesha wenye majina ya kikiristo ni more than 65 percent..!!! Shida yako kubwa ni Boss wa NSSF, Peleka udini kwenye ukoo wenu, kama umekosa sifa nenda kalime bamia..
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naipa Serikali Siku 7, kama Mkuu wa Majeshi hatajitokeza...

    Kamuulizie officine kwake au nyumbani kwake caz haishi wala kufanya kazi jamii forums...!!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Zitto Kabwe?

    ACT itawashangaza oct 25. Ndo Mtajua zito alikua wapi..!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itueleze sasa alipo Mkuu wa Majeshi, tuna haki kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya katiba ya nchi

    Kwani watu wote muhimu unajua walipo..?? Au mpaka Angekua kwenye campaign za UKAWA ndo ujue alipo...?? Nenda Officine kwake ukamuulizie kama una shida nea sio huku...!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Masoud Kipanya

    Lowasa ndo hot news kwa sasa wewe unataka achore tumbili ndo ufurahi...?? Kila jambo na wakati wake acha ushabiki mbuzi...
Back
Top Bottom