Yu wapi Zitto Kabwe?

Yu wapi Zitto Kabwe?

Zitto yuko bize na kuchukua majimbo tarehe 25utajua kwa nn alikuwa kimya acheni ubwege kama mmekalia ncha za misumari ukitaka azunguke na mama mpe uone kama hatazunguka nae ----- ww
 
jimboni Kwake maji ya Shingo. Kushinwa ni 70% hadi sasa; Jimbo Ukawa Wanabeba.

Zitto ni RAIS wa Kigoma. Akiwaambia wavuvi wa dagaa wasiuze dagaa, Tz nzima hatuli dagaa wa kigoma. Jimbo lake keshalichukua mapema sana.
 
We jamaa muongo sana,,mara kafulila hali mbaya,mara nccr inaweza pata ubunge kwa kafulila tu sasa tukueleweje? Husomeki kabisaaaa,,,zito ataibuka mshindi kwa act,lkn nccr watayashikiria majimbo yao trh 25 ,na cdm watapata kama kigoma kaskazini,na the rest itakuwa kati nccr na ccm.

NCCR wana uwezo wa kupata jimbo moja tu Kigoma,Kafulila, CCM watashinda Kigoma Kaskazini na Kibondo,majimbo mengine yote ni ACT Wazalendo.
 
analipa kile anachopanda,huyu kijana tumemsukuma kutoka ubungo ,baadaye akashuka tukatembea naye kwa miguu mpaka jangwani wazee na umri wetu lkn baadaye naye anaanzisha DEAL???????????? jameni mungu ambariki sana
 
Lumenyera Mbunge anaesubiliwa kuapishwa Kigoma mjini kupitia CHADEMA na UKAWA kambana wakala wa Manamba
 
Hahahahahahaha Ukiona mtu mzima anaanza kuropoka ujue umemshika pabaya viva Lumenyera viva CHADEMA viva UKAWA
 
Zitto ni moja ya vijana ninao admire siasa zake sana, ingawa ana mapungufu yake kwenye suala la kufikiri kabla ya kuamua, but ni moja ya vijana wachache wenye uwezo mkubwa wa kushawishi na kujenga hoja.
Mheshmiwa huyu now days kwenye mikutano ya ACT simuoni, kwenye midahalo simuoni, kwenye vyombo vya habari haandikwi, kwa kifupi hasikiki completely tofauti na ninavyotarajia kwa yeye kama kiongozi mkuu wa ACT.

Wale wanaojua alipo watuambie naamini jimboni kwake ni mteremko.



Hata mimi Arushaone sijui aliko huyo dogo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom