William Lukuvi, will you make a good Tz PM?

accused

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
2,496
Reaction score
2,750
Ndugu zangu wanajamvi..
Uchaguzi ushapita na sasa turudi tena wamoja tukiziacha tofaut zetu za vyama..alieshinda kashinda na hao wanatetea vita kwa kushindwa i dont support them.
Swali lililobaki kichwan kwasasa ni kua kwa uchapakaz alouonyesha mh. William Lukuv ndan ya wizara ya ardhi mda mfupi alokaa ktk wizara hyo ni dhahiri kua angefaa sana kua PM anaeweza kwendana na kasi ya Rais mteule..was was ni mmoja tu, lukuv ana majibu ya hovyo hovyo sana kwa wale mlokua mkifuatilia bunge na dharau pia zimemjaa!!

Give up your opinion!!!
 
Elimu na uwezo wa lugha za kimataifa kama english lazima uzingatiwe ktk uteuzi wa waziri mkuu.
 
Mimi ni CCM simpendi lukuvi hana humility ya kuwa waziri mkuu. Tunahitaji waziri mkuu ambaye atawaheshi watz wote bila kujali kabila wala chama. Lukuvi sidhani kama anazo hizo sifa. Nilimuona kipindi cha escrow alikuwa hafai. Ni bora hata mwigulu au January Makamba. Mwakyembe ni mzuri ila nasikia ana ukabila wa kinyakyusa.
 
Hizo wizara nyingine mbona hakuonesha hayo makeke..!! we want someone who his/her performance has never been questioned..!! Prof muhongo, dr mwakyembe and mwingulu can fit this position..!!
 
Unadhani hiyo HESHIMA huyo mtu kwenye red hapo anayo??
 
Hizo wizara nyingine mbona hakuonesha hayo makeke..!! we want someone who his/her performance has never been questioned..!! Prof muhongo, dr mwakyembe and mwingulu can fit this position..!!

Mwigulu mpiga kelele tu hana lolote... Uchumi namba moja shilling imekuja kumporomokea yeye kutoka 1700 mpaka 2100
 
Wizara ya Mambo ya Ndani apewe ADADI RAJAB, ni taaluma yakebukizingatia na uzoefu wake INTERPOL
 
Elimu na uwezo wa lugha za kimataifa kama english lazima uzingatiwe ktk uteuzi wa waziri mkuu.
Ccm itabidi pia wampeleke magufuli kwa rasi simba asije akafanya kama ya phillep mulugo
 
Hizo wizara nyingine mbona hakuonesha hayo makeke..!! we want someone who his/her performance has never been questioned..!! Prof muhongo, dr mwakyembe and mwingulu can fit this position..!!
Hao uliowataja labda wawe mawaziri wa mafisadi ila sio hapa tz wawe mambo ya nje labda
 
Back
Top Bottom