Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

Unatumiwa wewe,unataka tuangalie TBC ambayo wanatoa habari zinazowafurahisha mabosi wao,shida ya watu wengine wanataka kuona TV inasifia tu mabosi wao bila kufahamu kuwa jamii ina shida na matatizo kibao,hebu fikiria mpaka sasa wasimamizi wa vituo vya KURA,bado hawajalipwa posho zao,wewe unadhani tungejua wapi kama sio ITV,TBC kamwe hawawezi kutangaza habari hiyo.
Acha mahaba yasio na manufaa kwa wengi zaidi ya wewe na tumbo lako.

Nasikitishwa sana na Mwenendo wa ITV.

ITV imekuwa ikireport Mambo ya Uchaguzi kwa kipindi chote cha Uchaguzi, Lakini cha Kuumiza nakushangaza kituo hiki kutokuzifuata Taratibu, Sheria na Kanuni za Vyombo vya Habari (Media Ethics) hii imekuwa Tatizo kubwa sana kwa TV na Radio hizi za IPP.

Ukitizama Report zinazoendelea kupitia IPP hakuna Balance Story hata Moja, Utaona Migogoro, Vurugu, Migomo, Matusi nk....
Habari hizo ndio zimekuwa habari kuliko habari zakuwashibisha watanzania ukweli na kuwajuza uhalisia!

Mfano tangu jana mpaka sasa nafatilia TV zote Nchini Sijaona ITV wamerusha Habari hata Moja ya Kata, Jimbo na Rais habari zote Nikule UKAWA waliposhinda na Sehemu za Migogoro. Aibu sana kwa The Super Brand.

HsXd8zM.jpg

Habari moja tu ya Report ya Tume aliyosoma Mwenyekiti wa Tume ndio ilizungumza CCM kushinda na Vyama vingine baada ya hapo Presenters wakarudi kujadili Migogoro na Shida zaidi.

Emu Tizameni Azam Tv muone Mfano wa Reporting.

Unapotoa Report uwe na Data na ufundishe watu sio uwaweke watu na kaswali yasiyo na Majibu.

Watu wa TCRA mko wapi kutizama nakushughulikia maswala haya ya Vyombo vya habari vikivyi na Mahaba na Vyama na kupotosha Watanzania?

Nchi itajengwa kwa Jamii yenye Maadili mema, na Maadili mema hutokana na kila akisikiacho na kukiona Mtanzania, kama leo hii vyombo vya habari kazi yao migogoro na kutokubalance habari jua hili ni tatizo!

ITV naomba Mjirekebishe!

Mzifuate Media Ethics ili Mfanye kazi ya Habari sio Mapenzi na Mahaba yenu.
 
Pelekea TBC na Star TV uchafu wako huo. Tena TBC mnakula kodi zetu halafu habari za upendeleo.
 
TV pekee iliyorusha coverage yote masaa yote...kopo la Kijitonyama kazi taarabu na mziki
 
Itv ndio wanafanya kazi kiprofeshno. Mimi nimefungulia TBC nikakuta katuni, Kipindi hichi ni kipindi cha katuni kweli!
 
Nafikiri unatakiwa kuwaomba radhi ITV na wananchi wazalendo wapenda ukweli. Kwa sasa hapa Tanzania hakuna vyombo vya habari vinavyo toa taarifa 'balanced na fair' kama IPP media. Labda hizo vurugu zinazoripotiwa zinagusa maslahi yako mtoa mada ndo mana umeweka uzi huu.. ifikie wakati tuwe wakweli na tumwogope Mungu. Kama unaona ITV inakuboa endelea kuangalia TBC na ZBC ambazo muda wote wanasema 'uchaguzi umekuwa huru na haki bila matatizo yoyote na amani imetawala' wakati uvunjaji wa taratibu za uchaguzi zinaonekana wazi na kura zinachezewa kwa mtindo wa 'bao la mkono'...shame on you chichiemz..
Nasikitishwa sana na Mwenendo wa ITV.

ITV imekuwa ikireport Mambo ya Uchaguzi kwa kipindi chote cha Uchaguzi, Lakini cha Kuumiza nakushangaza kituo hiki kutokuzifuata Taratibu, Sheria na Kanuni za Vyombo vya Habari (Media Ethics) hii imekuwa Tatizo kubwa sana kwa TV na Radio hizi za IPP.

Ukitizama Report zinazoendelea kupitia IPP hakuna Balance Story hata Moja, Utaona Migogoro, Vurugu, Migomo, Matusi nk....
Habari hizo ndio zimekuwa habari kuliko habari zakuwashibisha watanzania ukweli na kuwajuza uhalisia!

Mfano tangu jana mpaka sasa nafatilia TV zote Nchini Sijaona ITV wamerusha Habari hata Moja ya Kata, Jimbo na Rais habari zote Nikule UKAWA waliposhinda na Sehemu za Migogoro. Aibu sana kwa The Super Brand.

HsXd8zM.jpg

Habari moja tu ya Report ya Tume aliyosoma Mwenyekiti wa Tume ndio ilizungumza CCM kushinda na Vyama vingine baada ya hapo Presenters wakarudi kujadili Migogoro na Shida zaidi.

Emu Tizameni Azam Tv muone Mfano wa Reporting.

Unapotoa Report uwe na Data na ufundishe watu sio uwaweke watu na kaswali yasiyo na Majibu.

Watu wa TCRA mko wapi kutizama nakushughulikia maswala haya ya Vyombo vya habari vikivyi na Mahaba na Vyama na kupotosha Watanzania?

Nchi itajengwa kwa Jamii yenye Maadili mema, na Maadili mema hutokana na kila akisikiacho na kukiona Mtanzania, kama leo hii vyombo vya habari kazi yao migogoro na kutokubalance habari jua hili ni tatizo!

ITV naomba Mjirekebishe!

Mzifuate Media Ethics ili Mfanye kazi ya Habari sio Mapenzi na Mahaba yenu.
 
Wanafuata maagizo ya bosi wao.
Thanks to Azam kuwa mbadala wao when it comes to professionalism
 
Jana tulijikuta tunacheka wote tuliokuwa tunatazama taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku.Bwamdogo Spancer Lameck anampamba Edo kwamba alikuwa mwenye afya tele alipokuwa anapiga kura ilhali mzee anaonekana dhaifu anatembea amepinda mgongo utadhani anayemelewa na kibiongo.teh teh teh.Huyu kijana tabu kweli,baada ya habari pia akakimbilia kutuonesha matokeo kituo kimoja huko Moshi Mjini ambapo Edo alipata mara nne point ya kura za Magufuli huku akiwa na bashasha kibao.The good news is that Prof Muhongo tayari kashinda huko Musoma Vijijini so Magufuli akishinda tu jamaa uPM unamnyemelea,huyu jamaa ni kiboko ya Machache so Kuna mnyukano tutauona hapo.Just the matter of time.
 
Bora ninunue dikoda ya Azam yenye watu makini
 
Nasikitishwa sana na Mwenendo wa ITV.

ITV imekuwa ikireport Mambo ya Uchaguzi kwa kipindi chote cha Uchaguzi, Lakini cha Kuumiza nakushangaza kituo hiki kutokuzifuata Taratibu, Sheria na Kanuni za Vyombo vya Habari (Media Ethics) hii imekuwa Tatizo kubwa sana kwa TV na Radio hizi za IPP.

Ukitizama Report zinazoendelea kupitia IPP hakuna Balance Story hata Moja, Utaona Migogoro, Vurugu, Migomo, Matusi nk....
Habari hizo ndio zimekuwa habari kuliko habari zakuwashibisha watanzania ukweli na kuwajuza uhalisia!

Mfano tangu jana mpaka sasa nafatilia TV zote Nchini Sijaona ITV wamerusha Habari hata Moja ya Kata, Jimbo na Rais habari zote Nikule UKAWA waliposhinda na Sehemu za Migogoro. Aibu sana kwa The Super Brand.

HsXd8zM.jpg

Habari moja tu ya Report ya Tume aliyosoma Mwenyekiti wa Tume ndio ilizungumza CCM kushinda na Vyama vingine baada ya hapo Presenters wakarudi kujadili Migogoro na Shida zaidi.

Emu Tizameni Azam Tv muone Mfano wa Reporting.

Unapotoa Report uwe na Data na ufundishe watu sio uwaweke watu na kaswali yasiyo na Majibu.

Watu wa TCRA mko wapi kutizama nakushughulikia maswala haya ya Vyombo vya habari vikivyi na Mahaba na Vyama na kupotosha Watanzania?

Nchi itajengwa kwa Jamii yenye Maadili mema, na Maadili mema hutokana na kila akisikiacho na kukiona Mtanzania, kama leo hii vyombo vya habari kazi yao migogoro na kutokubalance habari jua hili ni tatizo!

ITV naomba Mjirekebishe!

Mzifuate Media Ethics ili Mfanye kazi ya Habari sio Mapenzi na Mahaba yenu.

Kwenda zako wewe kilaza nani kakulazimisha kuitazama itv? Tazama li tbc lako
 
We kweli Chenga KBS yaani unailaumu ITV wakat wanaesha usiku kucha kwa kutoa taarifa za uchaguz wakat TV yenu inaonesha katun acha ushamba ww
 
mdau haya maandishi ungeyaandika kipindi cha kampeni maana TBC na STAR TV zote mpaka taarifa za habari hawakumuonyesha mamvi au sheria haiwahusu wao? tutende haki bana ZNZ matokeo yashajulikana but mpaka sasa hayajatangazwa unajua kwa nn? ndo hapo ITV wanapoingia kuchimbua kwa nn n they deserve to be SUPER BRAND
Kaka/mdada sikiliza. Tatizo ni kuwa bora star tv au tbc waliokaa kimya kuliko kuchochea vurugu. Na si umesikia Muhongo kashinda, basi na tinga tinga nalo mpaka sasa linaongoza kwa mbali mno, maana yake mengi asitegemee visima vya gas tena nyambafu zake na ufisadi wake
 
google media ethics usome hilo ni somo kubwa sana kwa waliosoma mass communication au journalist watakuwa wanajua nini nazungumza hapa, ila waweza google nakuzipata sheria, kanuni na taratibu hizo

Kila kitu google😆? Elimu ya mulugo ni sheeda
 
ITV muwaache jman wanareport bila upendeleo ila dar kuna matukio mengi ndio maana repotaz wamejaa hapo na hali halisi upinzan dar imeshinda sana! Ila tv yenu star tv matukio ya dar hwaonyeshi hta kidg wao wanaongea tu, ITV wapo vzr
 
Waandishi pia The Hegue inawahusu..!! Wanafikiri yule muandishi wa kenya alijipeleka..? Ngoja hayo machafuko wanayoyaombea yatokee tutawashughulikia..
 
Fungua na wewe kituo chako cha TV urushe matangazo yako kwa media ethics unazo ina zina faa. Tunafuatilia uchaguzi huu muhimu kupitia ITV na ndiyo inayorusha matangazo ya uhakika na ina angaliwa na watu wengi. Katoe malakamiko kweny television ya taifa maana wao cjaona kitu.
 
Back
Top Bottom