Maskini Tanzania!

Maskini Tanzania!

Tafiti nyingi zinaripoti kuwa wanaoiunga ccm mkono ni wajinga na watu waliojikatia tamaa..!!
ok hii ndio mazingaombwe na ghiliba za wakawa tumezishinda.... itikadi za ulafi ubinadi uliokithiri. sisi tunaoiunga mkono ccm/magufuli hatuhitaji kua fisi au nyang'au ili kupata maendeleo. hatutaki kuongozwa na watu fisad.
 
Watanzania sio wajinga kama ulivyofikiria...!! Hatuwezi kumpa fisi atawale nchi..!! Mpaka upinzani utakapokua upinzani kweli na sio timu ya wasakatumbu ndo tutawachagua upinzani...:hand:
 
Nimependa post yako lakini hao waliowekwa kugombea nafasi za juu hawawezi kamwe kuibadili Tanzania watu wanaelewa kaka so hapo ukawa walibugi
 
Watanzania sio wajinga kama ulivyofikiria...!! Hatuwezi kumpa fisi atawale nchi..!! Mpaka upinzani utakapokua upinzani kweli na sio timu ya wasakatumbu ndo tutawachagua upinzani...:hand:

Uko sahihi sana sana sana sana sana sana
 
Tulieni ukawa dawa iwaingie vizuri. Lazima vidole 2 juu lazima vikatwe bila ganzi
 
Utaisoma namba bitch! CCM inarudi tena na sasa Magufuli atawanyoosha kisawasawa. Kwa akili zako ndogo ulitaka yule anayekunya kwenye nguo ndio awe rais wetu?? Sahau, Watanzania wamekataa mtu anayejinyea, wamemchagua mtu wa kaziTu na anaongoza kwa kura nyingi sana bado kuapishwa tu. Nilisema mimi, kamwe mabadiliko hayaletwi na wanywa viroba na wapumbavu.

Kaka UMEMALIZA. Mijitu mingine eti ilidhani Lowassa ataleta mabadiliko! Aanze yeye Lowassa kujibadilisha, mtu amechoka amefubaa eti ndio awe rais! Akawe rais wa watu wanaojinyea huko.

Wanywa viroba, WaTanzania wamewakataa. Ikulu imegoma kuwa hospitali.
 
Ninakupenda sana Tanzania pia ninakuwazia utakaporudi tena kwa watu walewale wanaokutesa miaka minne na kukubembeleza miezi mitatu

Tanzania ninakufananisha na yule Jamaa ambaye alitekwa na kuteswa sana akapata nafasi ya kutoroka ila alitoka nje na kurudi tena ndani kisa anaogopa Waliomteka na kumtesa labda watamuona

Tanzania upo kwenye mikono ya watu ambao hawataki kujifunza kutokana na makosa nakupenda Tanzania

Tanzania upo kwenye mikono ya watu ambao hawana sifa kuu ya mjasiriamali ambayo ni (risk taker)

Narudia tena chozi litanitoka kusikia unarudi au unafunga tena ndoa ya miaka mitano na Mume ambaye anakutesa kwa miaka minne na kukufariji kwa miezi mitatu nawe unasahau mateso ya miaka minne
.............ila nafurahi kuona umepokonyoka toka kwenye mikono ya walanguzi ambao walikuwa na uchu wa kukupeleka mnadani huku wakitokwa na udenda wa tamaa ya fedha ambayo wangepiga baada ya kumpata mnunuzi toka ughaibuni! MUNGU akulinde Ooh Mama Tanzania!!!!!
 
nchi ina laana labda wanasubiri Rwanda ikianza kuwekeza hapa tanzania kama kenya inavyowekeza hapa ndo watu watastuka
 
Sasa nimepata picha kwanini vituo vya polisi vinapovamiwa wananchi wanafurahia na hakuna anayehuzunika
 
Tanganyika ujanja wetu kubishana vijiweni na jf.
Nani kakwambia na kukuaminisha kwamba kujitambua ni kuchoma moto mazuri yaliyofanywa na waasisi wa nchi yetu!!! Stop living in the past!
 
Back
Top Bottom