Recent content by Mtei

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naibiwa gari na agent?

    Manfirst inapatikana siku1 au 2 kabla meli haijafika, anakwambia manifist au deliverd order(DO)
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada : Nataka kubadilisha umiliki wa gari,liwe katika jina langu.nini cha kufanya?

    Kama ni kampuni imekuuzia igonge muhuri wake kwenye kadi pia usisahau copy ya kitambulisho cha mnunuzi if possible na chamuuzaji
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi Makini kwa ajili ya finishing ya Nyumba

    kuna huyu anaitwa Frank mcheki kwanumber hii 0719855805
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tax Identification Number (TIN)

    Wewe nenda tra pale kipata watajie majina yote matatu uliyotumia na namba ya simu or postal adress uliyotumia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nape: Chadema wameingia Mkenge, kauli ya Vua Gamba vaa Gwanda ni ya CCM na CDM wanadanganya umma

    Kweli mfamaji haachi kutapatapa, wanaanza kung'ang'ania kauli haya ichukuen tuone kama watanzania watawaelewa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pinda na umiliki wa Sumry Express

    Kutoka mtoto wa mkulima hadi baba sumry, kweli kazi ipo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja eka 15 holili bei milioni 150

    Dah kweli maisha yamepanda Holili bei imefika huko, kiko wapi hicho Africa sana, rombo garden, mail sita au wapi ndugu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimelala fresh kabisa

    Dah! I like it
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama Si Mswahili Usisome Mlolongo huu!!!!

    Njoo ukae me nishasimama!!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nina "Red eyes"

    This is serious issue tusije tuka pofushana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Incubator za mayai tofauti

    Me na Tsh 300,000 naweza kupata
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba kariakoo yagoma kubomoka

    Nyumba ya shirika la reli namba 40 kariakoo imegoma kubomoka kila tinga tinga linalojaribu kuboa linaaribika. Source- chanel 10 Habari
  13. M

    JamiiForums Tanzania Anne Makinda: Sitogombea tena ubunge 2015

    Kakimbia umande huyo
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliyonifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton

    Penye mteremko mbele kuna mlima mkali, pole sana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Regia Mtema is No More!

    Rest in peace mtema
Back
Top Bottom