Kiwanja eka 15 holili bei milioni 150

HOLILI NI ENEO LIPO KARIBU MPAKA WA KENYA NA TANZANIA IPO MKOANI KILIMANJARO,.Piga simu mkuu utapata maelekezo yote..
 
mkuu hii ni first time nasikia shamba linauzwa huko moshi.ninavyofahamu eneo hili ni mojawapo ya maeneo ambayo ni makame sana na pia hakuna maji
 
Dah kweli maisha yamepanda Holili bei imefika huko, kiko wapi hicho Africa sana, rombo garden, mail sita au wapi ndugu
 
we unataka kuuza lile eneo la kiwanja cha ndege nini au ushalipwa unataka kumshikisha mtu gumashi? Holili pakame sana, ndo mana unaweza kupata kiwanja eka 15! ukinunua holili ndoto ya kulima sahau kabisaaa, labda ujenge nyumba za kupangisha pindi uwanja wa ndege ukifunguliwa
 
Tatizo mnaongea kisiasa zaidi,nimewapa maelekezo ya kutumia namba niliyoweka hapo juu,kama ni mtihani mmefeli,ndio mara ya kwanza kupata majibu hasi kama haya..mara ukame mara nini too many silly excuses..mnafananisha holili na jangwa..?WENYE NIA TUNAWASILIANA NAO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom