Nina "Red eyes"

wakuu tusaidieni jama huu ugonjwa noma,
mwenyewe umenipata tafadhali mwenyekujua dawa yake!?
 
nenda kachukue chumvi weka kwenye maji then iache mpaka iyeyuke vema anza kuyaosha macho kwa hayo maji hakikisha maji yanaingia ndani ya macho mara 3 kwa siku kesho ukiamka imeisha
 
Naombeni ushaur wakitaalam kuhusu,matibabu yake.
mimi niliugua haya makitu kipind nasoma shule pale bagamoyo, nilichofanya niliweka omo kwenye kiganja then nikailowesha na maji nikatia machoni kesho yake niliamka nipo poa hadi leo sijaumwa, hii njia ilinijia mwenyewe kichwani tu ila sikushauri utumie hii njia maana huwa najifikiria kama ningepofuka ingekuaje maana haina uthibitisho wa wataalamu!!tumia hizo dawa ulizoshauriwa
 
Kuepuka huu ugonjwa umakini unahitajika usifikiche macho yako kwa mikono bila kunawa na sabuni,mie nime come ax na watu wengi kama 8 wenye red eyes lkn sijapata huo ugonjwa coz sifikichi wala kugusa jicho na nikifika home nanawa kwa maji safi.
 
Naombeni ushaur wakitaalam kuhusu,matibabu yake.

1.usitembelee mikoa ya kanda ya ziwa kama vile shinyanga,mwanza na musoma. maana wao watakucharanga na mapanga wakihisi wewe ni mchawi.
2. ukiwatembelea wazaz kuwa makini unachoongea mama yako anaweza kuangua kilio akidhan tayari mtoto wao umeanza kuvuta mibangi na ndo maana unaongea mambo ya ajab ajab na macho yako mekundu
3.kazin angalia sana maana kama ni jumatatu bosi anaweza kudhan siku hizi unakesha bar mpaka unakuja job macho mekundu kwa sabab ya ulabu au mkojo wa shetani
4.kama unaongea na masister duu wakajua una red eyes usikasirke ukiona wanatizama pemben ukadhan wanakuonesha dharau,ila ni kuwa wanakuogopa utawaambukiza.
huo ndio ushauri wangu wa kitaalamu
 
nenda kanunue dawa ya macho inaitwa Dexamethasone and Neomycine,(dexa neo),weka 2drops four times a day
Hii ndio dawa sahihi kabisa nimeitumia kwa siku mbili tu na nikapona ila nakushauri usikune macho yako hata kama yanawasha vipi kwani itakusababishia uhisi macho yako yana michanga wakati ni vi-ngozi vinavyokuwa vimechubuka kutokana na kukuna macho,pole sana.
 
kuna jamaa alinambia ukinawisha macho kwa urine yako mara moja tu kitu kinapona..sijawahi kujaribu coz sijwahi kuugua hii kitu.
 
Jaribu ushauri wa mdau hapo juunenda kachukue chumvi weka kwenye maji then iache mpaka iyeyuke vema anza kuyaosha macho kwa hayo maji hakikisha maji yanaingia ndani ya macho mara 3 kwa siku kesho ukiamka imeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nimetumia dawa flani hivi ya matone ila naona ngoma bado ngumu tu.
 
Back
Top Bottom