Pinda na umiliki wa Sumry Express

Status
Not open for further replies.
uliahidiwa ukuu wa wilaya ukanyimwa?acha majungu!na kama umetumwa ,aliyekutuma mwambie nimekwenda nimewakuta wakukuamini hawapo!
 
kampuni ya sumry imesajiiwa lini?na huyo Mh kapewa lini uwaziri mkuu?wapiiiii?hiyo sumry mwaka 2008 wakati mh.pinda anapewa uwaziri mkuu ilishakuwepo miaka kadhaa nyuma,mimi nakumbuka mwaka 2007 tena katikati ya mwaka niliwahi kupanda mabasi ya sumry kwenda na kurudi songea!wakati huo, huyo pinda havumi wala wazo la yeye kuja kuwa waziri mkuu halipo kabisaa!acheni uongo jamani!yani sasa kiongozi yoyote yule ambae bado hana skendo,watu wanamchafua!
 
Naona Wanabodi wengi wanamponda mtoa hoja kwamba hoja yake haina mantiki kwa vile haina ushahidi. Anyway Mimi binafsi hili swala si mara ya kwanza kuliskia. Siku moja nilikuwa natoka Mbeya nilipanda Sumry na bahati nzuri nilikaa seat ya mbele nyumba ya dereva upande wa kordo. Tulikuwa tunapiga sana story na Dereva, Kondakta na Utingo. Na abiria wengi walidhani labda nami nilikuwa Staff. Tulipofika hotel ya AL-Jazera kwa ajili ya kula tulishuka nikaenda kula nao kule wanakokula madereva na makondakta.

Frankly speeking baada ya maongezi ya muda mrefu yule dereva (Sitamtaja jina kwa usalama wake) aliniambia kwamba Mh Pinda nae ameweka share zake kwenye kampuni ya Sumry. Sikuamini lakini nilichukua tu hiyo habari na kukaa nayo kichwani.

Baadae kama mwezi mmoja ukapita, Gazeti la MwanaHalisi nalo likaripoti kwamba Pinda amewekeza katika kampuni ya Sumry kupitia Kampuni yake inayoitwa 'MOVERS TRANSPORT (Kama sijakosea)'. Sasa kama tumeweza kuamini kwamba Bibi Kiroboto anashare kwenye SUPER FEO na William Lukuvi nae anashare kwenye UPENDO Trevallers Coach kwa nini tusimwamimi
franktemu123 wakati wadau walioleta habari za SUPER FEO na UPENDO hawakuwa na ushahidi?

TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
wewe kweli tumbiri kweli kweli..., hio elimu yako kubwa ulioyo nayo haikusaidii kabisa.. huo ndio ushahidi uliotumwa uulete hapa na aliekutuma??? mwambie kuwa mipango yake imesha shindwa akakae tuu kwao hana lake hawezi kutudanganya kirahisi hivyo.. huu uzushi umeshindika mkuu njoo tuu na mada nyingine..
 
Wewe kweli tumbiri kweli kweli. Hio elimu yako kubwa ulioyo nayo haikusaidii kabisa. Huo ndio ushahidi uliotumwa uulete hapa na aliekutuma? Mwambie kuwa mipango yake imesha shindwa akakae tuu kwao hana lake hawezi kutudanganya kirahisi hivyo. Huu uzushi umeshindika mkuu njoo tuu na mada nyingine.

Alfred Ngowi,
Nimeamini kweli ni vigumu binadamu kukata mkono unaomlisha!

TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Wanajmvi huyu jamaa kwa nje anaonekana msafi kiundani ni mchafu kupitiliza toka aukwae u-PM amekomaa kuchota pesa zetu na kuzipeleka kwenye SUMRY EXPRESS na sasa wameona kama wanashtukiwa wamenunua kampuni ya MBEYA EXPRESS kupotezea. Hebu cheki ule Uwanja wa ndege MPANDA ulivyotengenezwa fasta. Pia, alitaka Yambesi awe Katibu mkuu kiongozi kwa sababu wanatoka wote RUKWA mzee Luhanjo akamzidi kete kwa kumpendekeza best yake mzee OMBENI. Kuweni makini na huyu mtu nje anajifanya anamwaga chozi kumbe fisadi kiaina. Zaidi anajidai anapigia debe kilimo kwanza kumbe ndo anapofisadi kuanzia Matreka,Mbolea etc.......MKUU TUMEKUSHTUKIA

Ni rahisi sana na wewe kushtukiwa, mambo mengi umeyaweka kuchafua upepo tu na nadhani unakusudia kumchafua PM. Inawezekana kabisa katika kutekeleza majukumu yake Mh. Pinda ana mapungufu kama ulivyo wewe lakini si kiasi cha kumchafua katika jukwaa kama hili ambalo tuna dare kuweka mambo ya ukweli kabisa. Tazama kwa mfano unapozungumzia swala la PM kuboresha miundo mbinu mkoani Rukwa/Katavi ikiwa ni pamoja na uwanja wa ndege mpada kuonekana kuwa ni ufisadi, binafsi sikuelewi kabisa. Mpaka 2007, mkoa wa Rukwa by then ulikuwa na km 1.5 za barabara ya lami, nayo ilitokea eneo la CRDB bank hadi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa pale Sumbawanga. Kwa ujumla Rukwa among of the big four, ilikuwa kwenye hali ngumu mno in view of miundo mbinu. Kwa mtu unae amini katika maendeleo this is totally wrong!

Uwepo wake katika kampuni ya Sumry Bus na ununuzi wa mabasi ya Mbeya Express ni vema ukabandika solid evidence hapa.Unajua ni nini, mabasi ya mbeya express yalinunuliwa na sumry kati ya mwaka 2009 hivi na hii ilitokana na njaa ya msomali mmoja ambaye alikuwa mmliki wa MBY Exp. Kama siyo njaa ulikuwa ni uoga wa biashara ulioambatana na poor planning. Msomali alipoingiza magari yake kwa nia ya ku compete na sumry katika safari za Mbeya - Swanga na Swanga - Mpanda, sumry alishusha nauli to TZS 5,000. Kipindi hicho nauli katika route hizo ilikuwa ni TZS 15,000 in maximum. Hali hii ilimshinda Mbeya Exp na akalazimika kuuza mabasi yake kwa Sumry bus "Kimtindo". Nitarudi kwa maelezo zaidi ili kukuonyesha kuwa si vema kusemea jambo ambalo hujui ukweli wake... take care!
 
Wadau mnataka evidence ya Risiti/Mkataba ulioandikwa jina/saini yake au? yaani unafikiri yeye ni mjinga kiasi hicho? lengo la kuandika hapa ni watu wajue na wenye uwezo wa kuchimba zaidi afanye hivyo usitegemee mtu mmoja awe na habari complete. uliona wapi hiyo. Sijatumwa na mtu mimi ni mwananchi mwenye uchungu na nchi yangu na jinsi pesa/rasilimali zinavyoliwa na wajanja wachache

Enheee, leta vitu hivyo sasa.
 
Sasa wewe Tumbiri aka DR MAJUNGU uache uzushi na ushambenga na misemo yako ya taarabu. Hapa sio mahali pa mipasho ya upashkuna, ni mahali pa Great Thinkers ndugu. Tafuta mada nyingine nasio hio ya uzushi na upashkuna DR MAJUNGU wewe..

Alfred Ngowi,
Hapa ni JamiiForums Jukwaa la siasa siyo mahala pa uzushi, majungu wala ushambenga. Hii thread imefika hadi page ya 3 mods wameridhika na content zake hatimae wameamua kuiacha. Kama unaona post haina mantiki kwa nini usibonyeze Report Abuse utoe hoja zako kwa Mods waiondoe thread badala yake wewe na wenzako mmebaki tu kupayuka majungu, majungu, majungu, majungu bila kupeleka hoja kwa Mods. Ushahidi wa Gazeti la MwanaHalisi pamoja na Oral evidence kutoka kwa watu wa karibu na kampuni husika tumewaletea bado mnaendelea kubisha, mnataka tuwabebe kuwabembeleza hadi mkubali?

Kwanza nyie mnaodai kwamba thread ni ya majungu mnawakosea heshma mods wote wa jukwaa hili kwamba na wao wanashangilia Majungu. Ifikie hatua tukubali taarifa nzuri na mbaya za wapendwa wetu maana na wao siyo malaika.

TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Alfred Ngowi,
Hapa ni JamiiForums Jukwaa la siasa siyo mahala pa uzushi, majungu wala ushambenga. Hii thread imefika hadi page ya 3 mods wameridhika na content zake hatimae wameamua kuiacha. Kama unaona post haina mantiki kwa nini usibonyeze Report Abuse utoe hoja zako kwa Mods waiondoe thread badala yake wewe na wenzako mmebaki tu kupayuka majungu, majungu, majungu, majungu bila kupeleka hoja kwa Mods. Ushahidi wa Gazeti la MwanaHalisi pamoja na Oral evidence kutoka kwa watu wa karibu na kampuni husika tumewaletea bado mnaendelea kubisha, mnataka tuwabebe kuwabembeleza hadi mkubali?

Kwanza nyie mnaodai kwamba thread ni ya majungu mnawakosea heshma mods wote wa jukwaa hili mnatuaminisha kuwa hata wao wanashangilia haya Majungu? Ifikie hatua tukubali taarifa nzuri na mbaya za wapendwa wetu maana na wao siyo malaika.

TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),
tumbiri@jamiiforums.com

Hao watu wakaribu na hizo media unazijua wewe. ingekua vyema na habari za ukweli kama unge wataja majina hao watu unaosema wakaribu. ndio maana nasema huu ni uzushi tuu "DR" Huwezi kuacha kutoa majina na habari iliyo kamili na kusema eti kwasababu za usalama. iliniamini wataje majina. kwasababu mimi mwenyewe nawafaham baadhi ya wafanyakazi wa SUMRY. Wataje majina hao kama ni kweli.
 
Nina wajua kwa majina na Kondakta niliongea nae kwenye simu nadhani last month aliniambia ameahamia SAI BABA EXPRESS. Sasa unataka nikutajie majina yao ili washughulikiwe kwa kutoa siri za kampuni au? Sitakuwa nimewatendea haki kuwataja mahala hapa. Sipo tayari kuwataja Kaka maana najua watafukuzwa kazi but taarifa yangu ni ya uhakika. Na hata huyu Kondakta aliyehamia SAI BABA simtaji maana atakuwa chanzo cha kumjua huyo dereva.

Haya wewe unakataa habari ya MwanaHalisi mbona Pinda mwenyewe hakukana ile habari hadi leo na mbona hakwenda mahakamani au MCT kudai kudhalilishwa na gazeti husika?

TUMBIRI (PhD, Hull Univeristy - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Emu wanajf tusiishie kusema kwamba mtu ni mwongo mzushi that is long if u heard an information take ua own reseach on that particular information inakera sn kwamba wengine wanapinga 2 bila kufanya reseach sabu it can happen it is true bt people have just ignore that shall cost our nationg.that is all about....
 
Alfred Ngowi,
Nina wajua kwa majina na Kondakta niliongea nae kwenye simu nadhani last month aliniambia ameahamia SAI BABA EXPRESS. Sasa unataka nikutajie majina yao ili washughulikiwe kwa kutoa siri za kampuni au? Sitakuwa nimewatendea haki kuwataja mahala hapa. Sipo tayari kuwataja Kaka maana najua watafukuzwa kazi but taarifa yangu ni ya uhakika. Na hata huyu Kondakta aliyehamia SAI BABA simtaji maana atakuwa chanzo cha kumjua huyo dereva.

Haya wewe unakataa habari ya MwanaHalisi mbona Pinda mwenyewe hakukana ile habari hadi leo na mbona hakwenda mahakamani au MCT kudai kudhalilishwa na gazeti husika?

TUMBIRI (PhD, Hull Univeristy - UK),
tumbiri@jamiiforums.com

. kama wamehama ndio vizuri kuwataja sasa, lakini kwasababu ni watu wakubuni huta wataja.. Uanzishe biashara ya ku export majungu na uzushi, Labda hicho kitakusaidia lakini sio kazi unayoifanya sasa. la sivyo hizo ni POROJO, na tutazidharau na kuziacha hapa hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom