Recent content by mtbr

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katu sitakula makombo hata yawe ya Biriani

    Pole saana bro ila wameshamla ( tigo) huyo ndio maana ulisikia akisema paka mafuta kwanza. Huyo hakufai tena
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rushwa imekithiri kwa mtia nia Jimbo la Urambo

    Hiki ndio kipindi cha kutimiza MALENGO kwa takukuru
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nirudiane au nisirudiane na mpenzi wangu wazamani?

    unastahili kupongezwa hongera saana mdada. Binafsi sidhani kuna maana yoyote ya kufanya uende kusikiliza wapuuzi kama hao. Kama pesa ipo kale bata tu midada na njemba wako
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    Kama vp naweza kuendelea
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    Hahaha kweli mdau na sio wanawake tu hata wanaume wafupi pia. Shida ni pale ambapo wanapshindwa kujiamini kwani hata kma ana mpenzi wake hawezi kujiamini kua yeye ndio kila kitu. Hapo ndio ukorofi wao unaanzia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ajali Nzega: Basi la kampuni ya Kisesa limegongana na Lori

    Ajali inaweza kutokea popote pale J3 hii ya juzi nimeshuhudia Dreva aliendesha gari kwa umbali wa km 3 kagonga gusi nae ni uchovu? Na kama unaamini kua kisesa Express wa Dreva m1 kaombe kazi ya ukonda kama hujui kuendesha gari. Hao unao waona kma maconda ni madereva walio soma (NIT)
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ajali Nzega: Basi la kampuni ya Kisesa limegongana na Lori

    Hata kama hujui shelia za barabarani angalia hata picha ya bus kwanza kisha toa rawama zako. Kisesa Express ni kampuni yenye mabus mapya kabisa na ni bora.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fc Barcelona wenzangu tutatoka leo?

    Kaisha chapwa mtu 3 bila
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kutana na Mwanadada Dereva wa Bus

    Unawezaje kukataa kupanda gari analo endesha mwanamke? Na Unawezaje kuingiza hilo dubwasha lako kwenye papuchi yake ikiwa hujui ndani yake kuna nini? Acha uboya tembea kwa miguu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ukiokota smartphone bora uirudishe tu la sivyo utaishia lupango

    Akiirudisha kwa hiyari yake hiyo papuchi atapewa? Ili tuweze kumshauli.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Interview Azam Juice

    Barua yako yakuombea kazi imepotea Jaribu tena
  12. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima Siyo mtanzania, hatarini kurudishwa kwao

    Mmmhhh! Atakua raia wa nchi gani?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa au Kabila lenye wanawake warembo/wazuri Tanzania

    TABORA ni shiidah ucpime
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Kukataa Kunywa Coca Cola

    Mkuu nchi hii kwasasa inaamani kubwa upande wa dini hvyo tujaribu kuangalia kauli tunazo toa kabla hatujatoa maneno hayo adhalan
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wote Moshi wamegoma

    Ni vyema wagoma wote ili waweze kusikilizwa kuliko kua vigeugeu
Back
Top Bottom