Katu sitakula makombo hata yawe ya Biriani

Katu sitakula makombo hata yawe ya Biriani

Pole saana bro ila wameshamla ( tigo) huyo ndio maana ulisikia akisema paka mafuta kwanza. Huyo hakufai tena
 
Anold

hakuna kitu hapo huyo ametamani kausafiri kako mzee achana nae.
 
Last edited by a moderator:
Samahani bladha Anold kauthafiri kako ni ka aina gani ili nikutaftie demu mwingine mkali kuliko huyo.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuuu me ysmenikuta ila me skusomesha,pga moyo konde angalia life lako achana na huyo mpumbv
 
piga chini alilikologa we linywe. mademu wanazingua we angalia maisha yako na usirud nyuma
 
duuh,usikubali kumrudia hiyo paka mafuta kwanza alikuwa analiwa 0713.ukimuoa utapata aibu siku akienda kujifungua
 
Back
Top Bottom