Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,983
- 10,347
miliki ni mmoja na huo ni mchakato wa kuliondoa taratibu jina la Zuberi.....!Kawaida konda wa Zuberi ni dereva msaidizi.
Aisee kumbe kivuli kile kile.
miliki ni mmoja na huo ni mchakato wa kuliondoa taratibu jina la Zuberi.....!Kawaida konda wa Zuberi ni dereva msaidizi.
Punguza ushabiki.
Niambie tarehe 4 July 2015, to mwnz, madereva walikuwa nani na nani?
Muulize yule ustadhi alisaidiwa na nani pale alipochoka?
Pia muulize baada ya kutoka Shinyanga, tulipokoswa koswa head on collision, haikusababishwa na usingizi plus uchovu?
Safi sana Mkuu,maana lazima guyuwe na nondo za maana,jamaa harudi tena,hahahha JF kiboko
Asante mdau.
Mchangiaji alidhani nilikuwa na chuki binafsi!
Zuberi as Zuberi wako safi and not these counterfeits known as Kisesas!